Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020 alfajiri nitasafiri umbali wa KM 218 kwenda kumpigia kura Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020 alfajiri nitasafiri umbali wa KM 218 kwenda kumpigia kura Tundu Lissu

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura

Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa kipindi kile

Ila ndani ya miaka hii 5 ya utawala dhalimu wa kidikteta wa John Magufuli, nimekoma na nimeona sina sababu ya kuacha kupiga kura kwa maana naamini kura yangu moja inaweza kuuondoa utawala dhalimu, utawala katili, utawala mbaya, utawala unaowaleta Watanzania umaskini, utawala unaowanyima Watanzania haki, uhuru na maendeleo ya kweli utawala wa CCM.

Baada ya kuja mbeba maono,mpenda haki,uhuru na maendeleo ambavyo ndio kiu ya Watanzania wengi basi nami nimeamua nimuunge mkono mbeba maono huyu kwa kumpigia kura ambayo naamini itabadilisha hali halisi ya Watanzania kutoka utumwa wa miaka zaidi ya 50 ya utawala wa CCM na kuingia katika utawala wa sheria, katiba mpya, haki, uhuru na maendeleo

Hivyo tarehe 28/10/2020 alfajiri nitasafiri umbali wa Kilometa 218 kwenda kumpigia kura ndugu Tundu Antiphas Mughwai Lissu

Watanzania tuikatae CCM tumkatae laghai, fisadi, mtoa rushwa, tumkatae dikteta uchwara John Magufuli ifikapo tarehe 28/10/2020
asubuhi na mapema.

FB_IMG_1603136815546.jpg
 
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa.

Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 28.10.2020 ni siku ya kichinjio!! Tunamrudisha mtu kijijini kwao akasali kwenye lile kanisa alilolipa jina la ‘baba’.
 
Lissu akiwa darasani, alikua hanyooshi mkono kuuliza maswali, Bali waalimu ndio walikua wakinyoosha mkono ili lissu awaulize maswali.
Ukiwa kichwa darasani Mwl Haridhiki aondoke bila kusikia maoni yako.

Utasikia Pythagoras una swali?? Ukisema huna basi anafunga kipindi.
 
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura

Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa kipindi kile...
Huo ndo uzalendo wa kweli mkuu.. wacha ule wa kitapeli wa ccm
 
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura

Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa kipindi kile...
Usisahau tunaanza maombi rasmi kuifuta ccm mioyoni mwa Watanzania tarehe 21 hadi 27 October

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Utafikiri wamerogwa
 
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura

Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa kipindi kile...
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom