Tarehe 28 Desemba, 2023 Mlokole aliyeishi Uarabuni anarejea rasmi Nyumbani kwenye Vyura na Kutangazwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya wale tuliompenda Kipindi cha nyuma na Kumpa yale Magunia yetu ya Mchele, Viazi na Sukari pale Temeke tafadhali tuanze Kuviandaa tena kwani anarejea rasmi Nyumbani.

Yaani huku kuna Mpaka Ukome, kule kuna Maksi za Darasani, hapa jirani ( kati ) kuna Ufunguo unaofungua Kokote na kule mbali pembeni kuna Mlokole ambaye pia ni Mnenguaji na Muimbaji mzuri baada ya kupikwa vyema akiwa na Rafiki yake Barnana pale THT (Tanzania House of Talent ) ilipokuwa Kinondoni jirani na Leaders Club kabla hawajahamia Mikocheni.

Kwa ujio huu wa Mlokole ni hakika sasa GENTAMYCINE nimeanza Kuogopa kwani huenda Mwezi Machi au April 2024 Mfumo wa Simu zetu usiwe ule wa 5G na sasa ukawa ni wa ama 7G au hata 8G.

Kazi ipo.....!!
 
Wacha woga wewe. Walikuja kina yikpe hapa na wakaboronga. Hata makundi hawafuzu hao
 
  • Thanks
Reactions: 511
Wacha woga wewe. Walikuja kina yikpe hapa na wakaboronga. Hata makundi hawafuzu hao
Hivi Kabia na Shabalalama wanamuweza Mlokole Mbilikimo anayerejea rasmi Nyumbani?
 
Haya wale tuliompenda Kipindi cha nyuma na Kumpa yale Magunia yetu ya Mchele, Viazi na Sukari pale Temeke tafadhali tuanze Kuviandaa tena kwani anarejea rasmi Nyumbani.

Yaani huku kuna Mpaka Ukome, kule kuna Maksi za Darasani, hapa jirani ( kati ) kuna Ufunguo unaofungua Kokote na kule mbali pembeni kuna Mlokole ambaye pia ni Mnenguaji na Muimbaji mzuri baada ya kupikwa vyema akiwa na Rafiki yake Barnana pale THT (Tanzania House of Talent ) ilipokuwa Kinondoni jirani na Leaders Club kabla hawajahamia Mikocheni.

Kwa ujio huu wa Mlokole ni hakika sasa GENTAMYCINE nimeanza Kuogopa kwani huenda Mwezi Machi au April 2024 Mfumo wa Simu zetu usiwe ule wa 5G na sasa ukawa ni wa ama 7G au hata 8G.

Kazi ipo.....!!
naam! Imeeleweka hiyo
 
Popoma tamba huku
Usioneka jukwaa la sports
 
Back
Top Bottom