Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
IMG_20240103_140747~2.jpg

34°C
 
Kuna vitu kadha kwa kadha mtu anapenda kuishi sehemu fulani.
-moja hali ya hewa.Sasa kilicho kukalisha huko ni kitu gani.
Atakuwa mzaliwa wa mtwara,jimbo lao hilo wanalikalia kimabavu
 
Leo January 3 dunia imelisogelea jua kwa umbali wa kilometers milioni 5 ikilinganishwa na mwezi Julai.
Tukio hilo kitaalamu huitwa Perihelion na ndio maana kunakuwa na joto Kali zaidi isivyo kawaida.
 
Nitakua sio wa kwanza kuchekwa
Usifurahie ujinga, taarifa za hali ya hewa ni muhimu sana kuliko unavyodhani, zipo nchi vipimajoto vimewekwa barabarani ili wananchi wavisome wenyewe japo sisi hata malmaka husika haioni muhimu kutujulisha!
 
Mimuntu mizima ya humu JF mumejibu kiujingwa sana.. inaonyesha mupoje kinandwi kwa rohwo na tabiwa zenu. Sheimi kubwa kwenwu..

Downgraded kwa listwi ya munazwo kiwango fulani.. na spidi ya 5G
 
Joto la Dar sio mchezo kipindi hiki ..
 
Dar joto limepungua miaka ya hivi karibuni.

Sijui ni mambo ya tabia nchi ila miaka ya nyuma si ajabu kukuta watu wakilala nje kwenye mikeka.
 
Back
Top Bottom