Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Vipimo vingine vyote viko sawa kasoro hizo siku mbili kwa muda na mahali tajwa.Hii indication ya temperature, ni ambient temperature au temperature ya batteries?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipimo vingine vyote viko sawa kasoro hizo siku mbili kwa muda na mahali tajwa.Hii indication ya temperature, ni ambient temperature au temperature ya batteries?
Sasa ungeenda nchi kama India nyuzi joto 40-45 ungesemaje. Joto la Dar-es-salaam ni himilivu
Na ningekuwa Greenland nisingeandika, pia Tanzania ingekuwa jangwani tusingekuwa na mamlaka ya hali ya hewa, ila kwa hili linahusu Mbagala kwa muda tajwa tu.Sasa ungeenda nchi kama India nyuzi joto 40-45 ungesemaje. Joto la Dar-es-salaam ni himilivu
Bado hujanijibu..!! Isije ikawa joto la betri zako ndo unadhani ni jotola Mbagala..!!Vipimo vingine vyote viko sawa kasoro hizo siku mbili kwa muda na mahali tajwa.
Weka hapa kipimo chako ulichokiona, hata hivyo mimi situmii betri ninatumia damu.Bado hujanijibu..!! Isije ikawa joto la betri zako ndo unadhani ni jotola Mbagala..!!
Aiseee..!!! Hongera.Weka hapa kipimo chako ulichokiona, hata hivyo mimi situmii betri ninatumia damu.
Ninayo themomita pia ambayo ninalinganisha nayo, kwa kifupi niko vizuri.Aiseee..!!! Hongera.
Temperature inayoonyeshwa kwenye display ya charger controller ni ya battery na si ambient. Battery charging process somehow heats up battery. Na inawekwa hiyo indication ili ujuwe battery yako ina joto kiasi gani. Joto kubwa lina athari kwenye battery, to the extent that wakati mwingine inaweza ikapasuka. Hivyo usije uka-relux kwa kudhani hilo ni joto la Mbagala, ni la betri na likizidi utatakiwa kuchukua hatua, maana likipasuka ni hatari. Mle ndani ya battery kuna sulfuric acid (tindikali) ambayo ikikufikia machoni wakati battery linapasuka unaweza ukaathiri macho. Hata hata kwenye ngozi au nguo au kingine chochote..!!
Hivyo nakupa tu tahadhari na wala sileti utani kwenye hili. Its serious ndugu..!!
Acha kukomaa na mambo ya kijingaUsifurahie ujinga, taarifa za hali ya hewa ni muhimu sana kuliko unavyodhani, zipo nchi vipimajoto vimewekwa barabarani ili wananchi wavisome wenyewe japo sisi hata malmaka husika haioni muhimu kutujulisha!
Hiki ni kiswahili au kingoni? Kama ni kiswahili basi lugha imepanuka sanaMimuntu mizima ya humu JF mumejibu kiujingwa sana.. inaonyesha mupoje kinandwi kwa rohwo na tabiwa zenu. Sheimi kubwa kwenwu..
Downgraded kwa listwi ya munazwo kiwango fulani.. na spidi ya 5G
We usitutanie sisi wa kunyumba ujuwe..!!!Hiki ni kiswahili au kingoni? Kama ni kiswahili basi lugha imepanuka sana