Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

Sasa ungeenda nchi kama India nyuzi joto 40-45 ungesemaje. Joto la Dar-es-salaam ni himilivu
Na ningekuwa Greenland nisingeandika, pia Tanzania ingekuwa jangwani tusingekuwa na mamlaka ya hali ya hewa, ila kwa hili linahusu Mbagala kwa muda tajwa tu.
 
Weka hapa kipimo chako ulichokiona, hata hivyo mimi situmii betri ninatumia damu.
Aiseee..!!! Hongera.
Temperature inayoonyeshwa kwenye display ya charger controller ni ya battery na si ambient. Battery charging process somehow heats up battery. Na inawekwa hiyo indication ili ujuwe battery yako ina joto kiasi gani. Joto kubwa lina athari kwenye battery, to the extent that wakati mwingine inaweza ikapasuka. Hivyo usije uka-relux kwa kudhani hilo ni joto la Mbagala, ni la betri na likizidi utatakiwa kuchukua hatua, maana likipasuka ni hatari. Mle ndani ya battery kuna sulfuric acid (tindikali) ambayo ikikufikia machoni wakati battery linapasuka unaweza ukaathiri macho. Hata hata kwenye ngozi au nguo au kingine chochote..!!

Hivyo nakupa tu tahadhari na wala sileti utani kwenye hili. Its serious ndugu..!!
 
Ninayo themomita pia ambayo ninalinganisha nayo, kwa kifupi niko vizuri.
 
Usifurahie ujinga, taarifa za hali ya hewa ni muhimu sana kuliko unavyodhani, zipo nchi vipimajoto vimewekwa barabarani ili wananchi wavisome wenyewe japo sisi hata malmaka husika haioni muhimu kutujulisha!
Acha kukomaa na mambo ya kijinga
 
Mimuntu mizima ya humu JF mumejibu kiujingwa sana.. inaonyesha mupoje kinandwi kwa rohwo na tabiwa zenu. Sheimi kubwa kwenwu..

Downgraded kwa listwi ya munazwo kiwango fulani.. na spidi ya 5G
Hiki ni kiswahili au kingoni? Kama ni kiswahili basi lugha imepanuka sana
 
Back
Top Bottom