Tarehe 5 Desemba:Sumbawanga 2- Yanga 1.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari members!!!
Nasikia YANGA wamepigwa Goli 2 Dhidi ya Sumbawanga.
Golikipa alikuwa Kindoki.
Kwa wale waliofuatilia hii Mechi mtujuze,Upande WANGU sikuifuatilia hii kuhusu kubikiriwa wanayanga.
 
Ilikuwa "champions League " hivyo Yanga wana nafasi ya kupindua meza wiki ijayo kwenye mechi ya marudiano.
 
hahahaha Yule mkongo hajatumia benchi lake
 
Kwa hiyo kila afanyacho Simba lazima muige?
Inferiority Complex ni hali mbaya sana.
 
Mwhehu kabisa wewe. Hata Man U au Barca na hata Madrid wanazo mechi za ndondo
Wewe ndio hamnazo kabisa. Uliona wapi hizo timu ulizozotaja zikicheza ndondo kama si wakati wa pre season tu?Zimecheza ligi ikiendelea???
 
Unajua hata maana yake?
Mngekuwa hamna msingempigia mtu mmoja magoti. Msingekuwa na fikra kuwa bila yeye hakuna kinachokwenda.
Kwenye ile picha wewe ulikuwa wa ngapi kwenye listi ya waliopiga magoti?
Kama sio kuwa inferior ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…