Tarehe 5 mwezi wa 2 mwaka 2011 CCM- zanzibar

Tarehe 5 mwezi wa 2 mwaka 2011 CCM- zanzibar

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG00005-20110206-1039.jpg

Hii ilikuwa jana, sehemu mmoja hapa zanzibar inaitwa Kisonge, mmoja ya maskani kuu za CCM, angalia wanavyojipa moyo, wakati siku zote huku wanachakachua.....
 
Lakini si kasema kweli?, alaa. Kama hutaki panda juu ukazibe.
 
Lakini si kasema kweli?, alaa. Kama hutaki panda juu ukazibe.

nina wasiwasi wewe ndiye unayefadhili Chaki za kuandikia maneno yasiyo kua na maana pale Kisonge, na siku szote CCM wanawaza kutawala na sio kutatua kero za wananchi... na mmoja wapo ni wewe
 
Itatawala maisha kama na wewe utaishi maisha.
 
nina wasiwasi wewe ndiye unayefadhili Chaki za kuandikia maneno yasiyo kua na maana pale Kisonge, na siku szote CCM wanawaza kutawala na sio kutatua kero za wananchi... na mmoja wapo ni wewe

Yes, ni mimi wala usiwe na wasiwasi: CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
huna haja ya kuwa na hasira, kama unadhani alichandika sio kweli tu provie hapa
 
Lingine limeandika BILA CCM NCHI ITAYUMBA! sijui wanajisifia nini hawa kwa miaka yoote 32!??
 
Back
Top Bottom