Tarehe 6 Sept 1970 Jordan ilianza kilichojulikana kama "Black September". Arafat na wenzie walipotaka kupindua Serikali ya Mfalme

Tarehe 6 Sept 1970 Jordan ilianza kilichojulikana kama "Black September". Arafat na wenzie walipotaka kupindua Serikali ya Mfalme

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Kichapo walichochezea hakikuwa cha Kawaida; mnamkumbuka Muhammad Zia-Ul-Haq wa Pakistan, wakati huo alikuwa Brigadier akiwa huko jordan kuanzia 1967 na mwaka huo 1970 aliisaidia serikali ya jordan kuangamiza panya wa kipalestina wapatao karibu 25,000.

Jordan pia iwashukuru Israel kwa msaada iliyowapatia. Hawa Mapal serikali zote za kiarabu haziwataki kuwasikia kwa sababu kama kuna jamii imeharibiwa vibaya sana na Quran, basi hawa they are second to none; kwa mbali siku hizi wanafuatiwa na Pakistanis.

1725629740253.png

 
Back
Top Bottom