TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani.
Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa.
Tuko pamoja; na kama watahitaji walimu nipo tayari kujitolea kufanikisha hilo.
Limepitishwa Azimio hilo jana 23/11/2021; EAC, COMESA, SADC, ECOWAS na AU changamkeni kutimiza jukumu hili.
Mkuu Ziroseventytwo kujua lugha ya mawasiliano inatosha. Hata Ulaya wapo wanafunzi wanaofeli somo la kiingereza.
Pia lugha inabadilika kulingana na professionalism. Mfano misamiati ya kiingereza inayotumiwa na daktari ni tofauti na mhasibu tofauti na surveyor na ni tofauti na engineer.
Kiswahili basic kila mtanzania anakijua ni sawa na raia wa ulaya tu.