Tarehe 8 . 8 ni siku kuu ya wakulima hivyo siku hiyo tutahakikisha msipoleta timu uwanjani tutawafuata huko huko Njubu na tutawapeni ZAWADI za matikiti kabla hayajadondoka Ili mzipelekee familia zenu!
Mm wala simba siwawazii kabisa maana ata kuwapiga tano tutakuwa tumewastai sisi acha tukapambane natimu za kasikazini msimu huu warabu watajuwa hawajui.