Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Haya ni maneno ya Gamond Jana
"Nilikuwa naweza kuimaliza mechi kipindi cha kwanza sema nikahofia kuwavunjia heshima wanyeji wetu walio tualika" ~ Gamondi.
Mambo ya Gamond
Jana goli la kwanza limeingia ....gamond kanuna
Goli la pili limeingia gamond kanuna .....
Goli la tatu limeingia ...gamond kanuna ..... unfortunately goli la nne mwamba kavua miwani
Ushauri wangu
Kwa moto sisi kama simba hutuji uwanjani......labda mtutafute kwenye vibanda umiza
NB bosi ridhiwani anauliza huku