Tarehe 8 Simba tusipeleke timu uwanjani

Tarehe 8 Simba tusipeleke timu uwanjani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Haya ni maneno ya Gamond Jana

"Nilikuwa naweza kuimaliza mechi kipindi cha kwanza sema nikahofia kuwavunjia heshima wanyeji wetu walio tualika" ~ Gamondi.

Mambo ya Gamond
Jana goli la kwanza limeingia ....gamond kanuna

Goli la pili limeingia gamond kanuna .....

Goli la tatu limeingia ...gamond kanuna ..... unfortunately goli la nne mwamba kavua miwani

Ushauri wangu
Kwa moto sisi kama simba hutuji uwanjani......labda mtutafute kwenye vibanda umiza

NB bosi ridhiwani anauliza huku
1722184913656.jpg
 
Haya ni maneno ya Gamond Jana

"Nilikuwa naweza kuimaliza mechi kipindi cha kwanza sema nikahofia kuwavunjia heshima wanyeji wetu walio tualika" ~ Gamondi.

Mambo ya Gamond
Jana goli la kwanza limeingia ....gamond kanuna

Goli la pili limeingia gamond kanuna .....

Goli la tatu limeingia ...gamond kanuna ..... unfortunately goli la nne mwamba kavua miwani

Ushauri wangu
Kwa moto sisi kama simba hutuji uwanjani......labda mtutafute kwenye vibanda umiza

NB bosi ridhiwani anauliza hukuView attachment 3055884
Mtoto wa Jk anataka watu waogope.
 
Wewe na mkeo na babaako na mamaako msije uwanjani, lakini Sim a Sports Club itacheza mchezo wake kama ratiba ilivyo! SIMBA NGUVU MOJA!!!
 
Back
Top Bottom