Kama kawaida yako! Huna uliwazalo zaidi ya Simba!Yaaah Mkuu....moto utawaka
Kumbe huyo fisadi jr ndiye boss wako!!bosi ridhiwani anauliza huku
Mtoto wa Jk anataka watu waogope.Haya ni maneno ya Gamond Jana
"Nilikuwa naweza kuimaliza mechi kipindi cha kwanza sema nikahofia kuwavunjia heshima wanyeji wetu walio tualika" ~ Gamondi.
Mambo ya Gamond
Jana goli la kwanza limeingia ....gamond kanuna
Goli la pili limeingia gamond kanuna .....
Goli la tatu limeingia ...gamond kanuna ..... unfortunately goli la nne mwamba kavua miwani
Ushauri wangu
Kwa moto sisi kama simba hutuji uwanjani......labda mtutafute kwenye vibanda umiza
NB bosi ridhiwani anauliza hukuView attachment 3055884
Wewe na mkeo na babaako na mamaako msije uwanjani, lakini Sim a Sports Club itacheza mchezo wake kama ratiba ilivyo! SIMBA NGUVU MOJA!!!Haya ni maneno ya Gamond Jana