MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Miaka 60 za uhuru ila bado tuko vile vile kila kitu loh Nyerere kauua hi nchi.Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Mkuu, ulikuwa na umri gani, au unatupanga?Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Miaka 27 mkuuMkuu, ulikuwa na umri gani, au unatupanga?
Miaka 27???Miaka 27 mkuu
Si ajabu ulikuwa hata hujatengenezwaNilikuwa napiga mbizi kwenye majimaji ya mzee Mbaga huko kiunoni
Ulikuwa kwenye karanga na mihogoNilikuwa napiga mbizi kwenye majimaji ya mzee Mbaga huko kiunoni
Mkuu una miaka 89?Miaka 27 mkuu
Wamnthekeja avae π€£π€£Nilikuwa napiga mbizi kwenye majimaji ya mzee Mbaga huko kiunoni
Miaka 27 mkuu
Ndio mkuuMkuu una miaka 89?
π€£π€£hongera mkuuNdio mkuu
Umeshatwanga chibuku ukaona si mbaya kutufungasha kwenye sandarusi!Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Hamkumalizia "uhuru Ni kazi"?Mimi nilikua nacheza rede mara tukaanza kushangilia uhuru uhuru πππ.