Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Heri ya siku ya uhuru wadau.

Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.

Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.

Kweli wakati ni ukuta.

Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Dah! Nakumbuka hiyo siku kuna Mbuzi wetu alipotea.... ndo leo nimekuja kujua kumbe familia yenu ndo ilimchinja.
 
Heri ya siku ya uhuru wadau.

Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.

Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.

Kweli wakati ni ukuta.

Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Mkuu,
1961 hata kama ulikuepo na miaka 8 Sasa ivi utakua ni mzee sanaa....

Na wazee wengi ni Ant_techinology nashangaa mzee wewe upo huku 🤓 hongera sana mzee wangu...

Kuishi kwingi kuona mengi hakika umeona mengi mzee wetu

Happy birthday Tanzania 🍰🎂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
P
Kwani haukumbuki kwamba mtu akizeeka anarudi utotoni?

Mkuu,
1961 hata kama ulikuepo na miaka 8 Sasa ivi utakua ni mzee sanaa....

Na wazee wengi ni Ant_techinology nashangaa mzee wewe upo huku 🤓 hongera sana mzee wangu...

Kuishi kwingi kuona mengi hakika umeona mengi mzee wetu

Happy birthday Tanzania 🍰🎂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Si kweli.Muulize mzee@MohamedSaid
 
Yule mtoto wa Gerezani kariakoo ni haki na halali kwake maana ana exposure kubwa 🤓🤓

Pia kumbuka yule ni mwanahabari na muandishi wa vitabu so lazima awe UpTo date ☺️😊

Ngoja nimuite mzee wetu aje atupe neno Mohamed Said
Kwani huyu aliyekueleza yeye ni "old-mzee" umeshawahi kumuona uso kwa macho hadi usimuamini?

'
 
Nilikuwa duniani, ila sikumbuki hilo tukio maana unajua tena waswahili kila leo ni sherehe wala hujui nini kinaendelea

Sherehe tangu uhuru mpaka leo ndio maana hata maendeleo ni zero
Niliona ni ujinga kuishi huko nikasepa baada ya kuona maduka ya ushirika ya Nyerere wameanza kuuza ngano unalazimishwa na sabuni
Ila miaka 10 ya kwanza ya Uhuru tulikuwa bado tuna mentality za kizungu maana watu walikuwa wanajielewa sana na akili kibao
Baba alikuwa mfanyabiashara na supplier mkubwa kwa wazungu, Gari lake lilikuwa Land Rover nakumbuka mwaka 1967 alinunua ila kulikuwa na wakulima wawili pia walikuwa na Peugeot kabla ya mzee hao walikuwa nazo kabla ya Uhuru

Maisha zamani yalikuwa matamu asikuambie mtu yaani mswahili tajiri tena anatamba na Gari?
Hapo ndio wenye roho ya korosho wakaingia madarakani na kuona wao waanze nao badala ya kuwahamasisha waendeleze biashara zao
Mahasidi wametufanya hivi ila poleni sana
 
Heri ya siku ya uhuru wadau.

Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.

Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.

Kweli wakati ni ukuta.

Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Namshukuru Mungu ndo siku mama yangu alipozaliwa.

Happy Birthday Mama, endelea kupumzika kwa Amani.
 
Nilikuwa duniani, ila sikumbuki hilo tukio maana unajua tena waswahili kila leo ni sherehe wala hujui nini kinaendelea

Sherehe tangu uhuru mpaka leo ndio maana hata maendeleo ni zero
Niliona ni ujinga kuishi huko nikasepa baada ya kuona maduka ya ushirika ya Nyerere wameanza kuuza ngano unalazimishwa na sabuni
Ila miaka 10 ya kwanza ya Uhuru tulikuwa bado tuna mentality za kizungu maana watu walikuwa wanajielewa sana na akili kibao
Baba alikuwa mfanyabiashara na supplier mkubwa kwa wazungu, Gari lake lilikuwa Land Rover nakumbuka mwaka 1967 alinunua ila kulikuwa na wakulima wawili pia walikuwa na Peugeot kabla ya mzee hao walikuwa nazo kabla ya Uhuru

Maisha zamani yalikuwa matamu asikuambie mtu yaani mswahili tajiri tena anatamba na Gari?
Hapo ndio wenye roho ya korosho wakaingia madarakani na kuona wao waanze nao badala ya kuwahamasisha waendeleze biashara zao
Mahasidi wametufanya hivi ila poleni sana
Mkuu huwa nakuheshimu sana hapa jukwaani , naomba nizidishe heshima, Kama ulikuwepo wakati wa uhuru! 🙌🏻
 
Back
Top Bottom