Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Maisha yetu yanaweza kupunguza na kuwa namba, kila namba Ina mtetemo wake au nguvu ya matukio yake tarehe tarehe 9/9/2025"inaweza kupunguza na kuwa namba Moja ambayo ni 9 na namba , 9 ni siku muhimu ya utu, upendo na huruma.Kama sijakuelewa hv
AiseeBange huziwezi dogo
Au ndiyo kupatwa kwa mwezi Mkuu!Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9).
Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na matukio binafsi au ya kijami. Namba tisa Ina nguvu sana katika ukamilisho. Utu, huruma na upendo ni zawadi ya kipekee katika siku hii.
Hapana ni maarifa ya ki-numerolojia BossAu ndiyo kupatwa kwa mwezi Mkuu!
Tukiangalia kwamakini unagundua nikwel kabsa haiweziBange huziwezi dogo
😅Unajua unatuona kama mataqo yako
Mkuu umevurugwa kichwa sasa unaforce na sisi vivurugwe tuokote makopo pamoja. Wavurugwaji haaaaiiiiiii.Asante sana
🤣🤣Unajua unatuona kama mataqo yako