Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kwenye Jicho langu la Rohoni, Mungu kanionyesha Maandamano makubwa ya Watu misili ya Mchanga wa Bahari !!.
Ule Wingi wa watu umetengeneza Ukuta wa Ulinzi kiasi kwamba Hamna Pepo CHAFU ya kuungusha !!.
Narudia Tena, Tarehe 9 Dec, Haki za Watanzania MTAZITOA TU.
Ni hivi Maandamano Tanzania Hayatakoma, YATAKUJA Endelevu Hadi pale
1-Mh Polepole atakapoachiwa.
2-Kanisa la Gwajima Litakapofunguliwa.
3-Lissu atakapoachiwa.
4- Katiba MPYA.
5-Uchaguzi Mpya kuitishwa .
6-Utekaji na Mauaji yakome, na Wahusika kuchukuliwa Hatua.