Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Leo ni tarehe 20 Oktoba 2025
Tarehe kama hii ya leo mwezi ujao credibility ya Mwanasiasa, Kiongozi wa dini, msanii wa injili, msanii wa bongo flavour au mwananchi yeyote yule itapimwa kwa jambo moja tu nalo ni kama aliwahi kupaza sauti kukemea mauaji ya watanzania, utekaji wa watanzania, ufisadi wa viongozi bila kusahau matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na Viongozi.
Nawaonea huruma sana wanasiasa, waandishi wa habari, wasanii, askari, viongozi, na machawa wote waliopo upande wa waovu muda huu.
Mark this thread!