Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki.
Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani!
Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo bado ni mchele mchele kwa Simba.