Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jul 19, 2022 #1 Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki. Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani! Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo bado ni mchele mchele kwa Simba.
Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki. Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani! Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo bado ni mchele mchele kwa Simba.
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Jul 19, 2022 #2 Mbogamboga watapita kimya hapa.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 19, 2022 #3 Yanga Ilizabwa Mpaka Ikachakaa Na Mpaka Sasa Haina Hamu Kabisa
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jul 19, 2022 #4 King Kibadeni alipiga mabao matatu hat-trick, rekodi ambayo imekuwa kama mzimu kwao umeganda hautaki kutoka.
King Kibadeni alipiga mabao matatu hat-trick, rekodi ambayo imekuwa kama mzimu kwao umeganda hautaki kutoka.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 20, 2022 #5 Wanajiita mabingwa wa historian ila hii historian wanaipita kimyakimya
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jul 20, 2022 #6 nyie Uto mbona hamkuniambia Yanga mwenzenu kama tulikula sita