Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Hahahaa. Moyo wa nini tena?

Klabu hizi tunafurahi na kuimba kwa kupokezana hivyo hata na weye Mtani kuishangilia Simba una moyo wako ujue. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Enhe!!hebu kwanza nifungulie hiyo pm kesho nitume rambirambi kwa urahisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa Sauti Mtani.

Hivyo rambirambi hiyo itakuwa sababu ya kuwafungwa au ndio ile Changia Yanga. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Dah! Yaani mnabahati nyie hamjacheza mpira kabisa

Sasa nani atampa rambirambi mwenzake
 
Wana Yanga nawaombeni tuchukulie kama changamoto suala la kutoka sare na Simba kwa maana hali hii ya sare na kufungwa hatujazoea.
 
Back
Top Bottom