Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Sidhani kama yanatoka moyoni ila nakuombea afya njema ili uweze kushuhudia karamu kesho [emoji120] [emoji120]Hahahaa. Yanatoka wapi sa Mtani?
Ya moyoni hayo atiii.
Hahahaaa. Haya bana Mtani.Mapenzi yangu yote yapo Msimbazi ,hata ukipasua moyo wangu ni wekundu tu !!!Simba!! Simba!! Simba!!
Hahahaa.Sidhani kama yanatoka moyoni ila nakuombea afya njema ili uweze kushuhudia karamu kesho [emoji120] [emoji120]
Ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mapenzi yangu yote yapo Msimbazi ,hata ukipasua moyo wangu ni wekundu tu !!!Simba!! Simba!! Simba!!
Na wewe pia nakupa hongera mtani, Maana kushabikia Yanga yataka moyo.Hahahaaa. Haya bana Mtani.
Hongera zako. [emoji3][emoji3][emoji3]
Moto kabisaaNi [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Hahahaa. Moyo wa nini tena?Na wewe pia nakupa hongera mtani, Maana kushabikia Yanga yataka moyo.
π mikia hamnazo swahiba
Enhe!!hebu kwanza nifungulie hiyo pm kesho nitume rambirambi kwa urahisiHahahaa. Moyo wa nini tena?
Klabu hizi tunafurahi na kuimba kwa kupokezana hivyo hata na weye Mtani kuishangilia Simba una moyo wako ujue. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaaa. Huruma inakujaje sasa hapo jamaani Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ nimecheka kwa Sauti Mtani.Enhe!!hebu kwanza nifungulie hiyo pm kesho nitume rambirambi kwa urahisi
πππ nilikuwepo aisee Mtani.Mtani kumbe bado upo
Dah! Yaani mnabahati nyie hamjacheza mpira kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa Sauti Mtani.
Hivyo rambirambi hiyo itakuwa sababu ya kuwafungwa au ndio ile Changia Yanga. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
kawaida yao kutapatapa na kikosi chao cha bilioni 1