DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 183
.... Afu aangalie jinsi ya kuwaingia. Ukienda kichwakichwa nao wanakuzinguaNendeni clinic mtaambiwa watu wanakaa kupiga story kazini halafu nyie mnatuchosha huku........
... Wewe muulize tarehe yake ya mwisho ya hedhi. Kitabibu ili kujua tarehe ya kujifungua:
Unachukua tarehe ya mwisho ya hedhi[LMP=Last Mestrual period] unajumlisha na 7,unachukua mwezi wa mwisho wa hedhi unaongeza au unatoa 9 hapo unajua lini anatarajia kujifungua [EDD= Expedected Day Of Delivery]
... Kwa mfano kama LMP ilikuwa
26/4/2011 unachukua 26+7= 33, april ina siku 30, 33- 30= 3 may: 5+9= 14 mwaka una miezi 12 so 14-12= 2 [feb].
So EDD[Expected day of delivery ]
ni 03 february.
... Angalizo ni vigumu kujua mtoto ni wa kwako kwa kuangalia facts eti ulisex na that lady siku
gani. Kaa ukijua ni sperm moja tu inatosha kutengeneza mtoto[ the fastest,healthly,strong one]. So siku hizo sijui 5 unauhakika alisex nawe pekee! Kama kuna jamaa alikuwahi akatanguliza sperm yake mchana na ikatengeneza kimimba,utatuambia nini? Wakati mwingine ni bora kuaminiana tu kama tunavyoamini kuwa kesho kuna wokovu... Kama humuamini
kivile subiri siku katoto kakizaliwa kama hakafananii nawe [kwa imani yako],kang'oe tunywele tuwili ukacheki DNA kama zinarandana na za kwako !
...VP NIMEKUCHANGANYA MKUU ?!
Umetisha sana tena sana...............Kwa mara ya kwanza ndani ya JF napata detailed solutionza kitu ninacho kitaka.
Vipi nasikia kupima DNA kuna masharti mengi sana vipi ni kweli ? kama siyo kweli ina-cost shilingi ngapi? na Hospital gani zinatoa huduma hii? na unahitaji kupeleka nini ili kupima DNA?
AHSANTE KWA ELIMU HII MKUBWA!!!!!!!!!!!
Kuna ovulation calender nying online mfano hii ya baby center inaweza kukupa mwangaSWALI: kwa mda huo je, anatakiwa kujifungua lini? maana ananiambia eti mwezi wa kwanza!!!!!.
Vipi nasikia kupima DNA kuna masharti mengi sana vipi ni kweli ? kama siyo kweli ina-cost shilingi ngapi? na Hospital gani zinatoa huduma hii? na unahitaji kupeleka nini ili kupima DNA?
AHSANTE !
Kwa Dar es Salaam nenda Aga Khan Hospital. Kuhusu cost hadi mwaka jana ilikuwa shs laki 1 kwa kichwa sielewi kama imebadilika au la. Kwa tatizo lako inabidi iwe kwa vichwa viwili,wewe na mtoto. Kinachohitajika ni chochote kutoka katika mwili wa mlengwa, hata kama ni jasho lililobaki kwenye nguo alizovaa [unawapelekea nguo],kucha,nywele n.k.
... Kuhusu masharti,hiyo sielewi. Kama unania hiyo nafikiri ukienda utajulishwa.
Thanx for the informationHapa tanzania ni kwa mkemia mkuu wa serikali tu ndo wanafanya hiyo kitu. Walivyoanza mwanzoni ilikuwa mtu yeyote anaweza kwenda kupima, baadaye kidogo ilileteta matatizo na ikabidi mpaka uje na hati maalum ya mahakama, kwa sababu hii ni medical-legeal na inabidi iende kisheria zaidi.