Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

anza kuhesabu, ile siku ya kwanza unableed iiite ndo siku namba moja, sasa ukifika siku namba tisa, hapo ndo mstari wa hatari unaanza...siku ile ya tisa hadi siku ile ya kumi na sita, ndizo siku za kupata mimba, however, kama umekuwa ukijaribu kutafuta mtoto kwa namna hiyo, inabidi uziweke mbegu hazina ili uje u strike kwenye zile siku ambazo zina highest possibility ya ku conceive, that means, tangu mkeo ableed ile siku ya kwanza kubleed ihesabu kama siku ya kwanza, endelea nayo uhakikishe wiki moja na nusu hiyo unakaa bila kufanya mapenzi, halafu unaanza kufanya mapenzi siku ile ya 13, 14, 15 na 16. hapo kama wewe au mwenzi wako hamna tatizo atashika mimba. vilevile, huwa kuna mazingira mengi, mengine yanakuwa ni ya kishirikina, etc, kafanyiwe maombi na wachungaji, usichaguge we nenda tu alimradi unatafuta kutatua tatizo...wakuombee kama kuna kifungo umefungwa kifunguke, you never know. all in all, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hawatengenezwi na mganga wa kienyeji, kuna wakati mwingine yanaweza kuwa ni mapenzi ya Mungu uchelewe kuzaa, hivyo muombe na mtafute Mungu awe ndo kimbilio lako katika hili.
 
Asante sana mkuu ntafuata ushauri wako :A S crown-1: :A S crown-1::A S crown-1:
 
inawezekana mwanamke akapata mimba akidoo cku ya 11 na 13,bwana akapiz ndani,then cku 14 na 15 akapiz nje?
 
Inawezekana kabisaaa...Inategemea na huyo bibie ana mzunguko wa siku ngapi!
 
wanaJF nataka kujua cku za mwanamke kushika mimba je¿ Nisiku 2 kabla ya hedhi au ni baada ya hedhi! Msaada kwa wanaofahamu!

Kwa mwanamke wa mzunguko wa siku 28
- Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza anapotumika (bleeding)
- Siku ya kumi na nne (14) ndipo Yai la mwanamke linadondoshwa kutoka kwenye mfuko wa mayai
- Kwa lugha nyingine hiyo siku inaitwa FERTILE PERIOD
- Hilo Yai Lina uwezo wa kuishi masaa 72 ( makadirio), yaani zaidi ya hayo masaa linakufa!
- ili mimba itokee inabidi kuwepo na mbegu za kiume (sperms)
- Sperms nazo zina uwezo wa kuishi hadi masaa 72, yaani zaidi ya hayo masaa zinakufa.
- Kwahiyo , MKE na MUME wanapokutana kimwili masaa 72 (siku 3) kabla ya FERTILE PERIOD au masaa 72 (siku 3) baada ya FERTILE PERIOD, mimba itatungwa tu endapo all other factors are kept constant. Namaanisha Kama mume na mke hawana matatizo mengine ya kusumbua utungwaji wa mimba.
- Mume anashauriwa kuhifadhi mbegu zake kwa muda japo wa siku 14 kabla ya kuanza kuzimwaga Kutafuta mtoto . Faida yake ni kuongeza chances za sperms kafika kwa Yai na kuingia ndani yake.
- Faida nyingine ya kuhifadhi sperms japo kwa wiki 2 ni KUPATA MTOTO wa kiume!
- Anaye determine jinsia ya mtoto ni baba/ MUME.
- Genetically, mtoto wa kike ni XX na mtoto wa kiume ni XY . Kwahiyo , ukiangalia hapo, baba ni XY na mama ni XX
- Wakati wa fertilization ( Sperm + Ovum): Note : Ovum ni Yai la mke. ( fertilization maana yake hizo mbegu za mama na baba zinaungana kuanza kutengeneza mtoto). Baba akitoa sperm yenye X na mama akitoa yake yenye X basi mtoto atakayetoka atakua JIKE. Endapo baba atatoa Y na mama X basi mtoto atakayetoka atakua DUME.
- Kumbuka sperm za baba zenye Y zinakimbia haraka ( kasi kubwa) kuliko sperm zenye X.
- Pia hizo sperm zenye Y zinakufa haraka kuliko sperm zenye X
- Kwahiyo, baba na mama wakikutana kimwili siku ya 14 ambapo ndipo Yai linadondoshwa kutoka kwenye mfuko , sperms zenye Y zitaanza kufika kwa Yai kabla ya sperm X kwasababu sperm Y zina speed kubwa. Kumbuka ni sperm moja tu ndiyo inaruhusiwa kupevusha Yai . Hiyo sperm moja ikishaingia kwenye Yai basi ukuta mgumu unatengenezwa kwenye hilo Yai kuzuia sperms zingine zisipenye.
KAMA UNA SWALI ZAIDI ULIZA lakini muda huu ni usiku sana nendeni mkakojoe mlale.
 
siku 3 hadi 5 kabla ya hedhi ndio yai linakuwa limeiva likisafiri taratibu kutoka kwenye ovary kuja kwenye uterus kupitia falopian tubes hapo ukipiga bao la uhakika mbegu linaogelekea kwenye uke hadi kwenye falopian tube na hapo fertilization inatokea mimba inatungwa na hilo fertilized yai (mimba changa ) linasafiri kuja kujishika kwenye uterus (mji wa mimba) na hapo mtoto hukua hadi kuzaliwa!!

rafik mbona uko kinyume? Hizo unazozungumza wewe ndio safe days hawezi pata mimba siku chache kabla hajablid, kupata mimba ni kuanzia siku ya 9 mpaka 22 kutegemea na mzunguko kama mdogo, kuanzia 9 mpaka 16, kama mzunguko wa 32 then siku ya 13 mpaka 22..so what matterz ni kujua mzunguko wako..i insist siku 4 au 3 B4 PERIOD NI SAFE.
 
Kwa kukusaidia, nenda google type MAKE LOVE WITHOUT GETING PREGNANT, utakuta on line caluclator, utaingiza tarehe yako ya mwisho kublid, then utafid mzunguko wako ukiwa mrefu ni ngapi e.g 32 na ukiwa mfupi ni ngapi e.g 30, then utajua when to sex and when nt to..remember u shud notice ur period schedule atleast 6 month ila upate exactly data.
 
Ni wakat gan muafaka kujivinjari na mkeo/mmeo na mambo yakawa swadakta?
 
Wakati akiwa tayari tunda lake kuliwa.
 
Back
Top Bottom