Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
- Thread starter
-
- #741
anza kuhesabu, ile siku ya kwanza unableed iiite ndo siku namba moja, sasa ukifika siku namba tisa, hapo ndo mstari wa hatari unaanza...siku ile ya tisa hadi siku ile ya kumi na sita, ndizo siku za kupata mimba, however, kama umekuwa ukijaribu kutafuta mtoto kwa namna hiyo, inabidi uziweke mbegu hazina ili uje u strike kwenye zile siku ambazo zina highest possibility ya ku conceive, that means, tangu mkeo ableed ile siku ya kwanza kubleed ihesabu kama siku ya kwanza, endelea nayo uhakikishe wiki moja na nusu hiyo unakaa bila kufanya mapenzi, halafu unaanza kufanya mapenzi siku ile ya 13, 14, 15 na 16. hapo kama wewe au mwenzi wako hamna tatizo atashika mimba. vilevile, huwa kuna mazingira mengi, mengine yanakuwa ni ya kishirikina, etc, kafanyiwe maombi na wachungaji, usichaguge we nenda tu alimradi unatafuta kutatua tatizo...wakuombee kama kuna kifungo umefungwa kifunguke, you never know. all in all, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hawatengenezwi na mganga wa kienyeji, kuna wakati mwingine yanaweza kuwa ni mapenzi ya Mungu uchelewe kuzaa, hivyo muombe na mtafute Mungu awe ndo kimbilio lako katika hili.