Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa


Njia rahisi chukua duration ya siku zako mfano mwenye cycle ya 21days chukua 21/2= 10.5, chukua 10.5+3= 13.5, 10.5-5= 5.5, therefore duration ya danger days ni kati ya siku 6 hadi siku 14. Yaani kwa mtu mwenye cycle ya 21 days anaweza kupata mimba katika hizi siku, yaani yai linaweza shuka at any time btn these days. Kumbuka mfano kwa wale wenye siku 28 huwa tunasema yai linashuka siku 14, infact yai linashuka at any time btn day 9 and 17 ukitumia formula hiyo. All the best.
 

Mkuu Kungurumweupe
Samahani,mimi nilitaka nipate maelezo yaziada kidogo.Ivi inaweza tokea binti akapata mimba naakawa anaenda bridi bila kukoma ikiwa namaana kama bridi ilikuwa inachukua siku 5 basi inazidi, na zile tarehe ambazo huwa inatokea inabadilika?au asipate mimba lakini mara tu akaanza kwenda bridi bila kukoma?nini sababu zake,na nini kifanyike.samahani kama niatakuwa nje ya mada nilikuwa nahitaji msaada wako wamaelezo kufuatia elimu nzuri uliyonipa hapo juu.
 
Kwa mfano ulipata hedhi tarehe 27 mwez ulopita halaf ukaja sex tareh 23 au 24 mwez huu na mzunguko wako hauelewek yani kama ukianza period tareh 25 mwez 6 bas period inayofata nayo itaanza tarehe 25 au 26 au 27 au 28 mwez 7...je kuna uwezekano wa kupata mimba ktk iyo tarehe 23 au 24..?
 

wewe ndo umereserve ndugu, mbegu za kike ziko slow za kiume ziko fasta siku nazo mume 48 na kike 72!
 
je kama ilitokea bahati mbaya tukashiriki tendo la ndoa siku ya mwiso ya hedhi ... na baadae siku ya saba je atapata MIMBA?
 
Mkuu Kungurumweupe
Samahani,mimi nilitaka nipate maelezo yaziada kidogo.Ivi inaweza tokea binti akapata mimba naakawa anaenda bridi bila kukoma ikiwa namaana kama bridi ilikuwa inachukua siku 5 basi inazidi, na zile tarehe ambazo huwa inatokea inabadilika?au asipate mimba lakini mara tu akaanza kwenda bridi bila kukoma?nini sababu zake,na nini kifanyike.samahani kama niatakuwa nje ya mada nilikuwa nahitaji msaada wako wamaelezo kufuatia elimu nzuri uliyonipa hapo juu.
 
Naomba kujuzwa nifanye nini ili nipate mtoto wa kike kwani sasa nina mtoto wa kiume?
 
Kula mzigo anzia siku ya 10 baada ya hedhi ila Usile mzigo siku ya 14 baada ya hedhi na ukila siku ya 14 uhakikishe unapiga bao 2 au 3 na kuendelea,
 

formula hii inaweza kuwork kwa mizunguko yote? meaning kwa mifupi na hata ile mirefu. ila la MUHIMU pia mwanamke kabla hajaanza kutumia njia ya kalenda nilazima ahakiki kama mzunguko wake uko stable kwa miezi kadhaa mfano hata mitatu. kama unabadilika badilika nafikiri kuna uwezekano wa kupata ujauzito
 


Nadhani unajua kua kila mwanamke ana kalenda yake na ni tofauti na hii tunayoitumia kujua mwaka, mwezi na siku. Hivyo haiwezekani siku za kuzaliwa zikafanana, hata hivyo ktka kujifungua pia kuna kuchelewa hadi 2wiks au kuwahi kabla ya muda kufika japo kwa wiki au siku.
 

Full maelezo ya kujitosheleza, ukikosa kudaka au kudakisha mimba basi kuna walakini
 
Wadau, naomba elimu ya bure ya jinsi ya kupata mtoto wa kike. Je, wanandoa watumie mbinu gani ili kufanikisha jambo hili?

Nawasilisha
 
wa kike ni simple balaa! wa kiume ndio issue, nways ngoja wataalamu waje, ila we kla mzigo bila kukosa kuanzia siku ya 10 ya hedhi yai linapotoka kwenye ovaries!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…