Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

tarehe ya mwisho, ilikua leo na kesha maliza tayari 21/11/2014, mzunguko siku 28
nipe report mkuu lini nipige mzigo?
 
ni lazima useme kama ameanza kuona damu tar 17 je kwa kawaida huwa inamchukua siku ngp mpaka kuona tena damu?urefu au ufupi wa siku huathiri tar za kushika mimba hebu weka hizo taarifa upewe majibu na ikiwezekana weka kalenda yake ya miezi mitatu inayofuatana kupata uhakika
 
kama alipata hedhi tarehe 17
Je hedhi ya mwisho kabla ya tarehe 17 aliipata/ona Lin?

Jibu hayo msaada utaupata.
 
hv kuna scenario yoyote itakayofanya mwanamke aliyefanya mapenz siku moja baada ya kumaliza bleed apate ujauzito?
#msaada wenu madokta na wote wenye ufahamu wa hili suala.
 
Kwa uzoefu wangu wengi wao hakuna...anamzunguko wa siku ngapi?
 
swali je mwanamke baada tu ya tendo la ndoa anakimbilia kujisafisha na maji kuna uwezekano wa kupata mimba?
 
mi nashindwa kuelewa hii kwa mfano mimi mzunguko wangu ni siku 24 . na maanisha kwa mfano ni eanza leo 4,5,6,7. baada yakumaliza nakaa siku 24 ndo napata tena hapo nahesabu vipi
 
mi nashindwa kuelewa hii kwa mfano mimi mzunguko wangu ni siku 24 . na maanisha kwa mfano ni eanza leo 4,5,6,7. baada yakumaliza nakaa siku 24 ndo napata tena hapo nahesabu vipi

Mwajuma unaanzia kuhesabu Siku ya kwanza uliyoanza kupata siku zako
 
tarehe ya mwisho, ilikua leo na kesha maliza tayari 21/11/2014, mzunguko siku 28
nipe report mkuu lini nipige mzigo?

usumbufu wote wa nn? ivi kutumia kondom nisheeeda? maana unaweza hesabu ila siku zikabadilika kutokana na mazingira so ndom is safe
 
Kujisafisha hakuzuii kupata mimba only kondom,vidonge na njia za vijiti unaweza kuzuia mimba

utamtia utasa kama sio cancer na uvimbe mwenzio na hizo njia zako za uzazi unazo mshauri, si salama hata kidogo,unaweza kujikuta umezuia mimba milele. Go and find details my dear.
 
Jamani kama kuna mwanamke hajawahi kupata mimba kunasehemu ni wataalam huko kigoma,hawachukui hata senti yako ila utawalipa ukisha pata mimba,siwatanii Niko sirius
 
Nawajuwa mademu kama kumi natano niliwaelekeza kati ya hao ni mmoja Tu ilishindikana kwakuwa alikuwa anasagana before,lakini engine wote wanafamilia Zao kwa sasa
 
utamtia utasa kama sio cancer na uvimbe mwenzio na hizo njia zako za uzazi unazo mshauri, si salama hata kidogo,unaweza kujikuta umezuia mimba milele. Go and find details my dear.

Kirikuu hebu be specific njia ipi si salama?how possible kondom inaweza zuia mimba milele?kivipi kondom sio njia salama?are u seriously?vijiti siku hizi wanaweka mikononi km ulikua hujui just for ure information,sina uhakika km hizi njia unazifaham vizuri,kondom is the best precaution but km anaona inamzingua anataka kavukavu hospitalini siku hizi wanamfunga mwanamke vijiti mkononi na unapiga game kavukavu ukitaka mtoto wanavitoa hivyo vijiti,vinawekwa kiutaalamu na hakuna anayeweza kugundua.
 
Back
Top Bottom