Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Miezi mi5 si siku nyingi sana wapo watu wamekaa mpaka miaka 10 wengine sita na walivyojaaliwa kupata watoto kila mzao ni mapacha kwa hiyo usikate tamaa muda bado upo usiwe na shaka sana bado mapema utajaaliwa kuwapata au kumpata kila kheri dada
 
Miezi mi5 si siku nyingi sana wapo watu wamekaa mpaka miaka 10 wengine sita na walivyojaaliwa kupata watoto kila mzao ni mapacha kwa hiyo usikate tamaa muda bado upo usiwe na shaka sana bado mapema utajaaliwa kuwapata au kumpata kila kheri dada

Ahsantee
 
Madame Lufuo tujuze kama hizo tarehe ulizoshauriwa(2/3) ulifanya tendo kupata mtoto. Leo tarehe 7 machi. Tunaamini dalili umeziona. Sex ilikuwa tamuuuu saanaaa.
 
Imekaa njema sana, heshima kwako.
 

Mkuu nashukuru maelezo yako yamefumbua macho kiasi kikubwa sana lakini nina kaswali kadogo naomba msaada,

Mpenz wangu yuko kwenye mzunguko wa kati yaani siku 28 na kawaida tarehe 28 huwa ndio anaanzaga kubriji, tarehe 3/04/2015 nilikutananae kimwili pasi na kinga huku nikiamini ni siku salama kwake lakin mpaka jana inaisha tarehe 28 hakuona sikuzake nikamsisitiza leo tarehe 29 akanunue UPT apime akitoka chuon lakini chaajabu kanambia eti anamimba …!!!!

Kiasi fulan natilia shakha juu ya jambo hilo sababu nilipomuoji juu kipimo jins kilionyesha alijibu mithiri ya mtu ambae hajawahi ata kukitumia na nilipomuambia anipigie picha hiko kipimo alidai amekiacha alikoenda kupima na kurudi hataki kukipiga picha hataki kabisa namm niko mbali nae yaani nje ya mkoa kabisa, je niamini kama kuna miujiza imetokea mpk kapata hiyo mimba ikiwa tarehe kubriji alionza ilikuwa tarehe 28/03/2015 na kumaliza tarehe 30/03/2015 namimi nikakutananae kimwili tarehe 03/04/2015…!?????

NAOMBA MSAADA
 

ndugu hilo changa la macho wala hakuna possibility ya manzi wako kupata mimba kama mlisex 3/4 ila kama mlisex 4/4 ni possible
 
Habari wpndw,me naomba msaada kwa jambo hili huwa nashidwa kujuwa kuwa mzunguko wng ni wa siku ngapi,nashindwa kuesabu kama ni 28 au 25,naomba msaada kwa hapo.mfn mwezi uliyo pita niliziona siku zangu tarehe 30 mpk tarehe 3 nimemaliza,naomba majibu kupitia mfano huo
 
Nimekuelewa kidogo. Ila swali language lipo kwa mwanamke anayeingia hivi, mfano Leo kaona damu kidogo then zikapotea. Kakaa sikukutumia inayofuata haoni kitu chochote hata baada ya sikua mbili anaona tena kidunchu. Baada ya siku moja tena hapo ndo anaanza kubleed damu nyingi na baada ya siku nne anamaliza. Je mtu Kama huyu anakuwa katika kundi lipi mkuu?
 

Mwez huu ulianza tarehe ngapi?
 
Uyo anatatizo mkuu, ushawah kumuona daktari wa magonjwa ya wanawake hasa ya uzazi?
 
Sijawahi mkuu. Lakini tarehe zake zinakuwa ni zile zile kila Mwezi tatizo ni hilo tu la kuingia kinamna hiyo. Mkuu Huyo kweli anaweza kupata mimba?
 
Habari jamani,nna rafiki yangu,yeye anaenda hedhi cku saba ana mtoto mkubwa tu,je ni tatizo?then miezi kama minne iliyopita anaingia tarehe anayomaliza,mf aliingia tar 1/2_7/2 hedhi inayofuata akaingia tar 7/3 badala ya tar 1/3 mwez wa nne tar8 hajaona tar 14 ucku akadu je na hajaona hadi leo hedhi je itakuwa mimba au?
 
Jee Kwa wale ambao tarehe zao Za hedhi zinabadilika yaan hazina tarehe maalumu lakin akienda ni siku mbili atatumia calendar ilele ya siku 22?
 

Ndugu yangu jffrank huyo mpenzi wako hawezi kupata mimba kwa hiyo tarehe mliyokutana kimwili. Hapa kuna mambo mawili,

moja: huenda huyu mwanamke anataka kukupima ili aone reaction yako endapo itatokea siku ame-conceive

Pili: huenda alifanya ngono na mtu mwingine katika ile siku yake ya kupata mimba na akapata na sasa anataka akushike masikio. Nakushauri uweke msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…