Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Habari zebu wana jamvi Mimi Hii mada ya kurudi nyuma siku 15ndio sielewi menstrual cycle yangu haieleweki yaani in exactly ni siku ngapi Nina mzunguko zaidi ya miwili S's nitajuaje hiyo pin point mom sitaki kupata motto naomba mnisaidie
 

Samahani baba lao naomba nikuulize, mfano nimeingia tarehe 12 asubuhi, tarehe 15 nikamaliza, hapo inabidi niduu lini ili niweze kupata ujauzito?
 
Nimefurahi kukutana na uzi kama huu,lkn naombeni mnisaidie,mm nmekuwa cna tarehe zinazoendana,leo ntakuwa na mzunguko wa 28,mwezi ujao zinaenda hadi 30,inashuka 21 yaani zigzag kishenzi huwa nashindwa hata ntahesab vp,msaada wenu wapendwa
 

Baba lao. Mfano mbengu zilizomwagwa kwenye kondom baadae zinaweza zikawekwa ukeni na kutunga mimba?
 

Mfano nimeingia tarehe 11 nahesabu vipi? Mzunguko wanngu upo kwenye siku 35
 
K

Assalam alaikum. kwanza napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia kuoma uzi huu.
Kaka KUNGURU MWEUPE nilifuatilia maelekezo yako once nilopousoma uzi huu kwa mara ya kwanza mwz december mwaka 2014, nikamueleza na mke wangu kua nahitaj mtto wa kiume! nikampa haya maelezo yako ya kuhesabu kinyumenyume ck 15. nakumbuka ck yenyewe ikawadia nikafanya na hivi ninaandika haya nimefanikiwa kupata mtto niliyekua namtaka.
kwa hio basi ninathibitisha kua maelekezo haya kwangu nimeprove na nimefanikiwa mungu akulipe zaidi na zaid.
 

Huyo mtoto ulimtafuta hyo cku ya 15 kamili au ilizd au kupungua?
 

Hongera sana. Lakini mbona mimi nashindwa kutumia kalenda hiyo? Nina mzunguko wa cku 35 nahesabuje?
 
Habari zebu wana jamvi Mimi Hii mada ya kurudi nyuma siku 15ndio sielewi menstrual cycle yangu haieleweki yaani in exactly ni siku ngapi Nina mzunguko zaidi ya miwili S's nitajuaje hiyo pin point mom sitaki kupata motto naomba mnisaidie


Hata mimi ndio ninapopata hapo kwamba kama nataka kukwepa kumpa mimba mke wangu hesabu zinakuwaje au ni hizo hizo?
 

swadakta!!
 
Ninaomba kujuzwa jamani,mzunguko wangu ni siku 28 mwezi wa 12 nilibleed tarehe 5 then January nimebleed tarehe 6.

Je siku sahihi za kushika mimba ni zipi? Kwa ambao wako serious sitaki jokes please.

Asanteni.
 
Naomben msaada jmn mwez dec nilngia trh 8,mwez january nmeingia trh tano nisaidien kujua cku zngu za hatar,mzunguko wngu ni cku 28,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…