mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Ni kuanzia siku ya 12-16 ila unaweza kulana bila maganda hadi siku ya kumi ya 11 ukaiacha na mkaanza tena bila gand akuanzia siku ya 18 precautionary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba kujuzwa jaman,mzunguko wngu ni cku 28 mwez wa 12 nilibleed trh 5 then january nmebleed trh 6 je cku sahihi za kushika mimba ni zip? Kwa ambao wko sirias ctak jokes pliiiiz
ANZA KUHESABU SIKU UKIINGIA BLEED IWE SIKU YA KWANZA UKIFIKA SIKU YA 12 KUWA MAKINI LAKINI SIKU AMBAYO YAI LINAPEVUKA SO SIKU HII NI HATARI SANA.Ninaomba kujuzwa jaman,mzunguko wngu ni cku 28 mwez wa 12 nilibleed trh 5 then january nmebleed trh 6 je cku sahihi za kushika mimba ni zip? Kwa ambao wko sirias ctak jokes pliiiiz
SafiAngalia huo mzunguko naamini utakuwa umeelewa.
Hehehee nilitaka kumuambia ni jmos na jpili ila umeniwahi mkuu..AsanteNi juma4 na alhamis saa 8 mchana!!!!
Ni kuanzia siku ya 12-16 ila unaweza kulana bila maganda hadi siku ya kumi ya 11 ukaiacha na mkaanza tena bila gand akuanzia siku ya 18 precautionary
Anza kutomban.a leo utapata
mkuu hiyo nanlii ye2 wanauza wapi kwa hapo?????(mmea)Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.
Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.
Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.
Mfano wa kauli za Lowassa;
1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata!
Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??
Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
Usisahau kutimia kondomuNinaomba kujuzwa jaman,mzunguko wngu ni cku 28 mwez wa 12 nilibleed trh 5 then january nmebleed trh 6 je cku sahihi za kushika mimba ni zip? Kwa ambao wko sirias ctak jokes pliiiiz
nani tena huyu kakanyaga wayaaa?Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.
Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.
Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.
Mfano wa kauli za Lowassa;
1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata!
Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??
Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
andaa uniform,madaftari,ufutio,kalamu n.k.hzo ni dalili njemaNami nahitaji msaada, nime 'do' na manzii wangu katikati ya hizo siku na tangu jana analalamika sana tumbo chini ya kitovu kumuuma, tatizo litakuwa ni nini?
Mkuu, bado sijakuelewa maana ya kuumwa hivyo ukilinganisha na tulivyokutana kati ya 13, 14, 16 na kuendelea. Ufafanuzi nauhitaji Mkuu.andaa uniform,madaftari,ufutio,kalamu n.k.hzo ni dalili njema
dalili za mimba hzoooo.muda ci mrefu utasikia cizioni siku zanguu.ujue mmefaulu mtihani.fedha yako ya kwenda kwa dokta mwaka umeisaveMkuu, bado sijakuelewa maana ya kuumwa hivyo ukilinganisha na tulivyokutana kati ya 13, 14, 16 na kuendelea. Ufafanuzi nauhitaji Mkuu.