Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Asanten jmn ni zp dalili za ovulation?
Watu wengi wamekudanganya, siku yako ya hatari kushika mimba ni tarehe 16 hadi 21 kama ulianza kubleed tarehe 6 na mzunguko wako ni siku 28.
-Mzunguko wa siku 28 ina maana yai lako linapevuka siku ya 14, piga hesabu siku ya 14 tangu pale ulipoanza kubleed, inadondokea tarehe 19 na yai linakaa siku mbili, so itakuwa ni tarehe 19,20 ongeza na moja iwe 21.
-Pia vilevile kabla ya sex spermz za mwanaume zinaweza kaa ndani ya uke kwa siku 2 hadi 3, so kabla ya tarehe 19 toa siku 3 nyuma.


*** Kama unataka Mimba sex kuanzia tarehe 16 hadi tarehe 21 ***
 


Mkuu, tafadhali nipe PM, shemeji/wifi yako aliingia period 12-01-2016, nae Mzunguko wake ni exactly 28days. Nami nataka nimuombe Mungu atujalie mtoto, sasa kimahesabu siku ambayo probability ni 26-01-2016 kwa literature Review. Sasa naomba ushauri kwanza kweli ni tarehe hiyo?

Pili, kati ya tarehe22-26(Siku ya 11,12,13,14,15) baada ya siku zake nikutane nae mara ngapi katika hizo siku tano. Kumbuka leo ni trh 20/01/2016 na siku hatari itaanza 22/01/2016.

Nitashukuru sana kama nitashauriwa. Mwenye uwezo wa kunipa ushauri humu au kwa pm nitamshukuru.
 
Kutokana na badiliko la hali ya hewa na vyakula tunavyokula kwa sasa mi nadhani kuanzia siku ya 10-16 inaweza kuwa hatari kwa kupata mimba. Napita zangu mitaani miee
 
Hujaelewa nadhani yaani iko hivi hizo siku unaanzia kuhesabu moja kutoka siku ya kuanza mp? Hivyo basi wapo sawa kabisa
 
Ninaomba kujuzwa jamani,mzunguko wangu ni siku 28 mwezi wa 12 nilibleed tarehe 5 then January nimebleed tarehe 6.

Je siku sahihi za kushika mimba ni zipi? Kwa ambao wako serious sitaki jokes please.

Asanteni.
We ulifanya sex bleed ikabadrika ww
 
Tarehe 24-25 ndo uhakika zaidi ila Mkuu, kwenye mkao asiwe yeye ndo amekaa juu yako, muweke chini yeye. Baada ya sex asitumie vinjwaji kama Coca cola, pepsi, sprite n.k
Kazi njema!
 
Hivi kupata mimba ni hatari kiasi cha siku hizo kuitwa siku za hatari!?
Kwa nini zisiitwe SIKU ZA BARAKA maana inasemwa mtoto ni baraka za Mola...au expression nyingine positive.. Hivi kweli baraka zinapatikana siku za hatari hivyo!? Dah... Watoto wanafanyiwa vibaya sana..
 
Tarehe 24-25 ndo uhakika zaidi ila Mkuu, kwenye mkao asiwe yeye ndo amekaa juu yako, muweke chini yeye. Baada ya sex asitumie vinjwaji kama Coca cola, pepsi, sprite n.k
Kazi njema!


Ahsante sana mkuu,duuu kuhusu hizo soda nilikua sijui kama zina shida katika kushika Mimba. nitamwbia wife aachane nazo kipindi hiki!
 
Lakini natofautiana nao juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14. [/B]
All the day kuanzia nilipokuwa nasoma O-level na A-level na chuo nilikuwa najua hiyo ya kuheasabu kuanzia siku mwanamke anayoanza hedhi hadi siku ya kumi na nne na reference zipo nyingi sana je hiyo ya kwako unaweza kuweka reference ili tuiamini.zaidi?
 
Mkuu Kungurumweupe Nina Swali,hivi kuna Uhusiano kati ya kujifungua Mtoto wa Kiume na siku zako za kujifungua,namaanisha inasemekana Mtoto wa kiume huwa anafikisha wiki kuanzia 40 na kuendelea,Mtoto wa Kike wiki 36,37,je kuna uhusiano wowote hapo?
 
Mi naomba kuuliza kwa yeyote anaejua....hivi kuna Uhusiano kati ya wiki za kujifungua na jinsia ya Mtoto?kuanzia wiki ya 40 na kuendelea ni Mtoto wa Kiume,na chini ya wiki 40 ni mtoto wa Kike?
 
nilikuwa naitafuta sana hii thread
Ni uzi mzuri ila umakini unatakiwa iwapo unataka kupanga mipango yako iende sawa.Maelezo ya Kungurumweupe naona yana uwalakini maana reference zake hajaonesha kazipata wapi wakati vitabu vyote havioneshi hivyo...Kasema watu wengi pamoja na wanasayansi wana wrong concept kuhusu siku ya 14 ila yeye hajasema utafiti wake ameufanya vipi au umefanywa na nani na una ukweli gani.Unaweza kwenda kwenye vitabu vya kawaida tu kama Biological science au google utaona maelezo yake sio sahihi kabisa.Ni tahadhari tu usije kulaumu watu wanaotoa elimu za mambo mbalimbali humu,chukua usemi wa JK...za mbayuwai......?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…