Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Da kweli jf ni darasa tosha,sasa wadau mm sijaelewa siku ambazo ni za hatari na siku ni salama.au ni hiyo moja tu ndo ya hatari?
 
Hizi bangi ni halali zopigwe marafuku
 
Nakubaliana na wewe mkuu. But unawashauri vipi wanawake wenye irregular menstrual cycle, wafanye nini ili wasitumie artificial family planning
 
Tarehe 24-25 ndo uhakika zaidi ila Mkuu, kwenye mkao asiwe yeye ndo amekaa juu yako, muweke chini yeye. Baada ya sex asitumie vinjwaji kama Coca cola, pepsi, sprite n.k
Kazi njema!
ndugu yangu nisaidieni mke wangu anmzunguko wa siku 32 mpka 33 hivo siku ya hatari kwake ni ipi?mana mwez uliopita aliona siku zake tar 31 mwezi huu kaona tar 1/12 na anatamani kweli mtoto naomba msaada wenu.
 
Wakuu mi naomba kuuliza swali, kama mwanamke amebleed kwa siku mbili unahesabu hizo hizo mbili manake kuna mtu aliniambiaga ile siku mwanamke anayomaliza kubleed hata kama kableed kwa siku 1 unahesabu tano then unaendelea, ni kweli Wakuu? Naombeni ufafanuzi Wakuu wangu nisije nikaharibu huku, kumpa mtoto wa mtu mimba saii noma.
 
Mimi hata kama mwanamke amebleed kwa siku moja nilikua nahesabu tano halafu naendelea na zingine, ni sahihi Wakuu?
 
Na x wangu yeye mwezi juzi alipata hedhi tar 23 na mwezi ulio pita yani mwez jana,aliingia mwezini tar29 je nisiku ipi ya hatari ambayo anaweza kupata ujauzito?Japo kuwa mpangilio wake wa hedhi huwa haueleweki kama nilivyo eleza hapo
 
Andika vizuri kama mtu uliyekomaa akili ili uweze kusaidiwa vizuri.. Halafu Nina swali kaka ina maana huyo x wako mimba Yake wewe inakuhusu nini au x UNAMAANISHA nini
 
Na x wangu yeye mwezi juzi alipata hedhi tar 23 na mwezi ulio pita yani mwez jana,aliingia mwezini tar29 je nisiku ipi ya hatari ambayo anaweza kupata ujauzito?Japo kuwa mpangilio wake wa hedhi huwa haueleweki kama nilivyo eleza hapo
Sasa mzunguko wa hedhi wa x wako wewe wa nini?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…