Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

bovidae unaonekana ww ni mtaalam,tujuze zaidi kuhusu spermatogenesisi cycle,,,,manake hata mm huwa na du sana na shemejio ila msos nazingatia mlo kamili na matunda
Unaweza kuwa unafahamu unachoongelea ama haufahamu but that does not matter. Naamini mbegu (sperms) ni tofauti na shahawa (semen) in that sperm huwa ndani ya shahawa. Isije ukadhani kuwa kama unapiga round kibao unamwaga tu utakuwa unamwaga sperms tu pale, unaweza kujikuta unamwaga maji tu yanayotengenezwa ktk seminal vesicles na prostate glands or even cowper's gland. Lazima ujua kama unafanya tendo hilo mara kwa mara epididymal reserve inakuwa depleted and you will need time to replenish it. Tell me, do you have an idea how long does the spermatogenesis cycle take?
 
Huwa tunatumia fomula hii. Chukua namba ya mzunguko wako mfano 28 (n), gawanya kwa 2 jibu utakalopata mfano 14(x) jumlisha 3 utapata 17 hapa ndo zinaisha danger day na toa tano utapata 9 ndo zinaanza danger days. Yaan mtu mwenye mzunguko wa siku 28 siku za kupata mimba ni kati ya siku ya 9 na siku ya 17. Kwa hiyo yeyote anayetaka kupata mimba aanze kufanya mapenzi kuanzia siku ya 9-17. Kama hutaki mimba basi ogopa siku hizo. Kumbuka mzunguko wako ni cku ngapi. Kuna watu wana 21,28 na 35. n/2= x, initial days x-5, last days x+3. Siju hesabu inapanda vema, kama hujaelewa waweza nipm nikuelekeze vema naomba kuwakilisha.
 
Hivi nilipata mimba siku ya kumi na moja sijui ilikuwaje!
 
Hivi nilipata mimba siku ya kumi na moja sijui ilikuwaje!

Kama unamzunguko wa cku 28 hiyo ni kawaida. Kwani sperm y yaweza ishi masaa 24-48, wakati x yaweza ishi mpaka masaa 72 ndiyo maana ukidu basi cku ya 9 yai linakuwa bado halijashuka hivyo sperm ya x inauwezo mkubwa wa kulisubiri lishuke na mtoto wa kike kwa kiasi kikubwa unauwezo wa kumpata. Hivyo concept yakuto du kuazia siku9 ndo hiyo kwani sperm huwa zinasubiri kitu kishuke. Kumbuka wanasayansi wanaamini kwa % kubwa ovulation hutokea ck14. Yai lina uwezo wa kuishi masaa 48-72 ndiyo maana uki du cku 14-17 pia waweza pata mimba na hapa uwezekano wa kupata mtoto wa kiume ni mkubwa kwani sperm y inaspeed sana kuliko x. Nimeona niongeze pale kwanini cku ya 9. Kama nimekosea mwaweza nisahihisha haya yapo kwenye vitabu na mtandao pia.
 
Uko right LD, Ila kwa kuongeza tu nikuwa.....Kuna siku ambazo mimba ikitunga kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto either wa kike au wa kiume (NB: Si lazima iwe kama unavyopanga kwamba mtoto wa kiume au wa kike, lakini unaongeza uwezekano wa kupata mtoto unayetamani yaani wa kiume au kike).

Hii iko hivi...mwanamke ana mbegu XX na mwanaume mbegu XY. Kwenye kutunga mimba mwanamke anatoa mbegu moja (yai) ambayo itakuwa ni X tu, na mwanaume pia anatoa mbegu moja (sperm) ambayo itakuwa X au Y. Mbegu zikiungana kama ni X (yai) na X (sperm) then mtoto anakuwa wa kike (XX), na zikiungana X (yai) na Y (sperm) then mtoto anakuwa wa kiume (XY). Kwa mwanaume sperm zenye mbegu X huwa zinaishi siku 2 au 3 lakini ziko slow, na sperm zenye mbegu Y zinaishi siku 1 mara chache siku 2 lakini ziko fast.

Kwa hiyo basi, ukifanya tendo la uumbaji kabla siku 2 au 3 kabla yai halijatolewa (ovulation), mbegu X bado zitakuwa hai kurutubisha yai na hivyo kupata mtoto wa kike. Hivyo siku ya 12 na 13 baada ya kupata hedhi kuna uwezeakno mkubwa wa kupata mtoto wa kike. Na ukifanya tendo la uumbaji siku 2 baada ya ovulation, mbegu Y ambazo ziko fast zitawahi kurutubisha yai na kupata mtoto wa kiume. Hivyo siku ya 15 , 16 na 17 baada ya kupata hedhi kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume.
Asante sana Dr sasa hv nitakuwa makini na watoto wa kubambikiwa.. lol
 
Hivi nilipata mimba siku ya kumi na moja sijui ilikuwaje!

Njia simple ni tumekuwa tunaitumia mimi na wife kwa miaka kadhaa kwa mafanikio ni hivi, siku ya 11,12,13 mpaka 14 toka kutokea kwa damu ya kwanza huwa ni siku hatari hatukutani baada ya hapo huwa full kujiachia.

Tulifanikiwa kupata binti wetu wa kike kwa kutumia njia hii.
 
Uko right LD, Ila kwa kuongeza tu nikuwa.....Kuna siku ambazo mimba ikitunga kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto either wa kike au wa kiume (NB: Si lazima iwe kama unavyopanga kwamba mtoto wa kiume au wa kike, lakini unaongeza uwezekano wa kupata mtoto unayetamani yaani wa kiume au kike).

Hii iko hivi...mwanamke ana mbegu XX na mwanaume mbegu XY. Kwenye kutunga mimba mwanamke anatoa mbegu moja (yai) ambayo itakuwa ni X tu, na mwanaume pia anatoa mbegu moja (sperm) ambayo itakuwa X au Y. Mbegu zikiungana kama ni X (yai) na X (sperm) then mtoto anakuwa wa kike (XX), na zikiungana X (yai) na Y (sperm) then mtoto anakuwa wa kiume (XY). Kwa mwanaume sperm zenye mbegu X huwa zinaishi siku 2 au 3 lakini ziko slow, na sperm zenye mbegu Y zinaishi siku 1 mara chache siku 2 lakini ziko fast.

Kwa hiyo basi, ukifanya tendo la uumbaji kabla siku 2 au 3 kabla yai halijatolewa (ovulation), mbegu X bado zitakuwa hai kurutubisha yai na hivyo kupata mtoto wa kike. Hivyo siku ya 12 na 13 baada ya kupata hedhi kuna uwezeakno mkubwa wa kupata mtoto wa kike. Na ukifanya tendo la uumbaji siku 2 baada ya ovulation, mbegu Y ambazo ziko fast zitawahi kurutubisha yai na kupata mtoto wa kiume. Hivyo siku ya 15 , 16 na 17 baada ya kupata hedhi kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume.

May i call u doctor Riwa.
Hapo kaka umenipa shule ya nguvu watu tunashangaa tu mbona nimepata mtoto wa kike au wa kiume kumbe mtu unaweza kupanga.
I know about X and Y, na waY kuwa na kasi kumbe X ina ishi muda mrefu kuliko Y. Sasa ntapanga familia kie,dume,dume kike

By the way Thanks.
 
Siku ya kumi na moja na nina dume, unafikiri nina matatizo?
 
baada ya kumaliza hedhi.....anza kuehesabu siku ile hedhi imeisha hadi siku ya 10,11,12,13,14 ...hizi ni siku za mwanamke kupata mimba.....so anza kuhesabu siku ile hedhi imeisha. siku nilizotaja hapo juu inategemea na yai kama tayari limetoka kuleee kweny grafian follicle na kuanza kushuka tayari kwa uchavushaji.......

Unajua mkuu, kwenye hili kuna factors nyingi sanaa, kama mko pouwa mepima afya zenu na vizazi vyenu viko safi, formular its work,,, ila tatizo kwa vijana now days wana totoz nyngi nje ya ndoa zao,, so wanakamua sana outside rather than kwa wife,,, so c wife anapata mbegu ambazo ziko unfertilized,, or not stronger to make her pregnancy. so pls guys kula vizuri fanya mazoezi,, vyakula vizuri viwe vya protin coz,,,eggs for fertilization are protein in nature...... then mwandae na mwenzio kisaikologia kuwa mna gemu ikiwezekana since morning,,,,,pelekeni mayai yenu kwa wake zenu,,,,,vimada mkivipa mimba vinatoa coz navyo vinataka ndoa na nyoe vijana ni wagumu kuowa mwanamke aliyezaa... so they protect themselves on marriage.
 
Uliza wanawake 'waliokuwa'wanatambua exactly siku ya kubeba mimba.tatizo vijana wa siku hizi hamuendi jando na unyago mnafanya sijui kicheni pati kwa siku moja halafu mnaingia kwenye ndoa.
Tafuta mama mtu mzima atakueleza siku ya kupata mimba;baadhi ya vitu atakavyokutajia ni pamoja na kuongezeka kwa 'hashki'joto la mwili kupanda,kutoa ute ute mlaini na mauimivu ya upande mmoja wa tumbo la chini.

Ushauri kwa wazazi:tuwapeleke vijana wetu kwenye jando na unyago watia huruma jamani!
 
Uko right LD, Ila kwa kuongeza tu nikuwa.....Kuna siku ambazo mimba ikitunga kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto either wa kike au wa kiume (NB: Si lazima iwe kama unavyopanga kwamba mtoto wa kiume au wa kike, lakini unaongeza uwezekano wa kupata mtoto unayetamani yaani wa kiume au kike).

Hii iko hivi...mwanamke ana mbegu XX na mwanaume mbegu XY. Kwenye kutunga mimba mwanamke anatoa mbegu moja (yai) ambayo itakuwa ni X tu, na mwanaume pia anatoa mbegu moja (sperm) ambayo itakuwa X au Y. Mbegu zikiungana kama ni X (yai) na X (sperm) then mtoto anakuwa wa kike (XX), na zikiungana X (yai) na Y (sperm) then mtoto anakuwa wa kiume (XY). Kwa mwanaume sperm zenye mbegu X huwa zinaishi siku 2 au 3 lakini ziko slow, na sperm zenye mbegu Y zinaishi siku 1 mara chache siku 2 lakini ziko fast.

Kwa hiyo basi, ukifanya tendo la uumbaji kabla siku 2 au 3 kabla yai halijatolewa (ovulation), mbegu X bado zitakuwa hai kurutubisha yai na hivyo kupata mtoto wa kike. Hivyo siku ya 12 na 13 baada ya kupata hedhi kuna uwezeakno mkubwa wa kupata mtoto wa kike. Na ukifanya tendo la uumbaji siku 2 baada ya ovulation, mbegu Y ambazo ziko fast zitawahi kurutubisha yai na kupata mtoto wa kiume. Hivyo siku ya 15 , 16 na 17 baada ya kupata hedhi kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume.

Refer: www.woomb.org
 
Jamani ushauri mwingine tusitoe kama vile tunavyofanya kwenye majukwaa ya siasa. Hii tumuachie doctor ndiyo aseme. Anawakilisha.
 
Jamani ushauri mwingine tusitoe kama vile tunavyofanya kwenye majukwaa ya siasa. Hii tumuachie doctor ndiyo aseme. Anawakilisha.

Unawafahamu madaktari wote waliomo ndani ya JF? Na una uhakika gani kama wanaotoa ushauri huo hapo juu kuwa WOTE si madaktari? Kama huyajui majibu ya muuliza swali basi usi-conclude kwamba WOTE wanaotoa maoni/ ushauri huo si madaktari.

Just a piece of free advice!!

Thanks!
 
baada ya kumaliza hedhi.....anza kuehesabu siku ile hedhi imeisha hadi siku ya 10,11,12,13,14 ...hizi ni siku za mwanamke kupata mimba.....so anza kuhesabu siku ile hedhi imeisha. siku nilizotaja hapo juu inategemea na yai kama tayari limetoka kuleee kweny grafian follicle na kuanza kushuka tayari kwa uchavushaji.......

Edson...Ili kuweza kutime mzunguko mzima wa mwezi wa mwanamke kitabibu huwa tunaanzia kuhesabu siku ANAPOANZA hedhi, na siyo anapomaliza hedhi. Kwa sababu mzunguko wa mwezi wa mwanamke unatawaliwa na vichocheo (hormones), na kiasi cha hormones hizo kwenye mwili wa mwanamke huwa zinaanza kuongezeka kuanzia siku anayoanza hedhi na effect (mfano ovulation, utayari wa kizazi kupokea mimba, kutolewa kwa hormones za kutunza yai lililorutubishwa etc) yake inaonekana kadri zinavyoongezeka. Na pia, siku ambazo mwanamke anatoa damu ya hedhi ni tofauti..wengine siku 3, 4, 5 na wengine hata 8!

Kwa hiyo hizo siku ulizosema hapo juu ukihesabia toka mwanamke amalize hedhi si sahihi!
 
...Nimefaidika sana na Elimu iliyotolewa hapa na Dr. Kunguru Mweupe. Thanx
 
Huku ndo huwa tunawakamata waliokimbia biologia ya Mfumo wa Uzazi. Jamani,baiolojia ya utungaji mimba,si kanuni wala sheria kadiri ya wachangiaji wengi wanavodai. Wengine wanatuaminisha eti jinsi ya kughushi kupata wa kiume,wa kike au mapacha! Izo ni imani tu! Eti ukiwahi tarehe fulan unapata wa kike/kiume,hapana,hapa kuna aina ya vyakula alavyo mama,na homoni zenyewe. Hapa watu wengi wanaliwa na kamali ya madiktari ya kupanga tarehe ya kupata wa kiume/kike/mapacha! Nakumbuka mwl.wangu wa form3,dr.Reitcherbecher muaustralia aliyenijengea msingi wa bailojia na mpaka leo imesimamia ukweli. Najibu sasa : Mwanamke anapaswa ahesabu siku 11 baada ya siku ya mwisho ya damu, siku 13/14 kutoka siku ya kwanza ya kuona damu. Kwa iyo kuanzia siku ya 11 baada ya siku ya mwisho ya kuona damu. Kutokea hapa,sasa mwanamke aongeze kipindi kama kile cha wakati wa damu,kama anakuwa ktk wet period siku3,4 au 5 basi aongeze danger period ya siku kama za damu yake. Baada ya hapa anasubiri damu ianze ndo ajue tena cycle yake. Ikumbukwe cycle ubadilika kutokana na sababu nyingi eg mshutuko,presha,saikolojia,kuudhiwa kwa wenye hasira kali,taarifa mbaya n.k. Haya yote yako related kwa kuwa coordination hufanywa na ubongo,uti wa mgongo na homoni zenyewe. Tuko pamoja mpaka hapa? Mwenye swali kabla ya kuendelea?swali jamani?
 
asanteni kwa wote mliotoa ushauri, lakini mimi ninaswali,

kuna vitabu nilisoma vinavyozungumzia maswala ya uzazi , kwamba kama ukiwa unataka mtoto wa kike ni vizuri kukutana na mwanamme kabla ya ovulation day, then unapokutana naye ni mara moja tu then usirudie tena siku ya pili je hapa kuna nini? ni kwamba huwezi kukutana tena na mwanamme siku inayofuata kutokana na nini? ni kwamba mbegu nyingine zitaingia au? sikuelewa kuhusu hilo plz naomba mnifahamishe jamani
 
naomba nikuulize kunguru mweupe, ina maana hapo kwa jinsia ya kike ni kwamba siku 3 kabla ya ovolation day, unapokutana na mwanamke kwa siku moja ni kweli kuwa hutakiwi kurudia tena siku ya pili? kuna utata katika hili je ni kweli kama kukutana kwa siku mfulilizo tatu jinsia yaweza badilika?
 
Thread imekuwa na wachingiaji wengi na wamechangia vzr,
imekuwa vigumu kidogo kunibadilisha/kuuelewa siku ambazo zimehesabika ila huwa natumia njia hii kwa mpz wangu.
  1. huwa ana bleed kwa siku nne
  2. siku nne tangia amalize kubleed nafanya nae mapenzi nikiamini awezi kupata mimba
  3. Siku tatu baada ya siku 4 nilizozitaja katika namba 2 juu nikifanya nae mapenzi atapata mtoto wa kike
  4. siku nne baada ya siku tatu nilizozitaja hapo juu namba 3 nikifanya nae mapenzi atapata mtoto wa kiume
  5. Siku ya 11 tangia kumaliza kubleed naweza kufanya nae mapenzi bila wasiwasi wowote na mpenzi asipate mimba
  6. namba tano hapo juu unaweza kufanya mapenzi mpaka atakapo anza kubleed tena
Wakuu hivyo ndinyo ninavyotumia je, nakosea au nafanana na yaliyoainishwa na wadau kwenye post zilizotangulia
 
Back
Top Bottom