Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

wa kike ni simple balaa! wa kiume ndio issue, nways ngoja wataalamu waje, ila we kla mzigo bila kukosa kuanzia siku ya 10 ya hedhi yai linapotoka kwenye ovaries!

asante maana mimi mwenyewe nasaka kabinti cacico ngoja nianze zoezi....
 
kama sikosei na biology yangu ya enzi za nyerere.....

Mbegu ya mtoto wa kiume (sikumbuki vizuri X ni nini na Y ni nini) inakimbia fasta lakini hufa haraka, wakati mbegu ya mtoto wa kike zipo slow ila zinaishi ....

Lets say mkeo mzunguko wake wa siku 28 obviously siku ya 10-16 anakuwa kwenye ovulation;especially siku ya 14, kupata mtoto wa kike mfanye tendo siku ya 10-12 siku ya ovulation yani siku ya 14 asiduu kabisa, siku hii piga ua atotoka kidume.....

Kwa elimu zaidi Riwa anaweza kutusaidia
 
Last edited by a moderator:
Yaani unashangaza wewe,Kupata wa kike ni rahisi kuliko kujiunga Jamii Forum !Yaani cha Msingi hakikisha kila siku unagonga mzigo yaani wife,kwa maana hizi za (Y) huchukua mda mfupi sana wa kiushi kuliko za (X),hivyo kama Y itakutana na X wakati wa kutungwa kwa mimba hapo ujue ni dume !yaani XY.Lakini kwa kuwa za kiume huishi kwa mda mfupi na ukakuta zilizobakia ni Y na mkeo nae ana Y basi Huyo ni binti (XX).It means kula mzigo mara nyingi nako hupunguza nguvu ya zile za Y,zinabaki za X then mama mara zote huwa na za X,hapo lazima upate binti wa kufanyia SEND OFF mana najua ndo shida yako ukizeeka !
 
mwanamke anatoa yai XX na mwanaume mbegu XY. Kwa kawaida yai la kike yaani X huishi kwa saa 36(siku 1 na nusu) Kwa upande wa mbegu za kiume life span hutofautiana kwa kuwa zipo 2 tofaut......... kwa mbegu x life span yake ni saa 72(siku 3) na Y life span yake ni saa 48(siku 2)...... Yai la kike hukomaa na kuwa tayar kurutubishwa kuanzia siku ya 14 toka aanze hedhi mf.kam hedhi ilianza tar.30 oct. yai litakuwa tayar kurutubishwa kuanzia tar 12 Nov. ambazo ni siku 14. Ili upate mtoto wa kike inabid ukutane na mwanaume siku 3 kabla ya yai kupevuka ili inapofika saa 48 mbegu Y zitakuwa zimekufa hivyo zitabaki X ambazo zitarutubisha yai X NA KUANYA MTOTO WA KIKE. Ili upate wa kiume inakubid ukutane na m'ume siku ya 14 hasa usiku au 15 kwa kuwa Y ina kasi zaid kiliko X hivyo itawahi kufika kabla ya X na kurutubisha yai na KUFANYA MTOTO WA KIUME. Kuna mzingira yanayoweza kuathiri mahesabu hayo km kiasi cha alkaline ukeni,lishe nk so kuwa makini knye hizo hesabu utafanikiwa..BEST WISHES...........
 
Upo sahihi ili kupata mtoto wa kiume unahitaji kuunganisha Y na X. Mwanaume ndiyo ana zote YX. Kwa tabia mbegu Y ina kasi zaidi kuishinda X lakini hata hivyo mbegu Y hufa mapema kuliko X ambayo inaweza kukaa muda mrefu zaidi ukeni. Kwa hivyo kwa kuwa Y hufa mapema, basi yafaa ukitaka mtoto wa kike ufanye tendo la ndoa siku moja au mbili kabla ya yai kutoka. Maana yai litakapotoka litakuta Y imeshakufa au haina nguvu tena na X ndiyo bado inashangaa shangaa hapo. Lakini bahati mbaya kubwa ni kwamba siku kamili ya yai kutoka huwa haipo certain.

Yai linaweza kutoka kuanzia siku ya 12, 13, 14 au 15. sina uhakika juu ya 16. Kwa hiyo ni lazima uwe mzuri sana wa kusoma tabia za mkeo ili kuweza kukadiria siku ambayo yai linaweza kutoka. Na kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya wanawake juu ya siku ya kutoka yai, huwa inakuwa vigumu sana kujipangia jinsia ya mtoto unayetaka. Maana unaweza ukashangaa kwa kung'ang'aniza siku unazozitaka ukajikuta mkeo hashiki kabisa mimba, au ukapata mtoto ambaye hukumtarajia. Kwa hiyo pamoja na sayansi hiyo, bado kuna ukweli mkubwa kwamba na kubahatisha huwa kupo. Hiyo sayansi haipo perfect siku zote.
 
Pamoja na hayo inabidi uzisukume kwa nguvu pia ili zisije kuuwawa njiani, kwa hiyo itabidi utumie "dog style" or "push-up"
 
kama sikosei na biology yangu ya enzi za nyerere.....

Mbegu ya mtoto wa kiume (sikumbuki vizuri X ni nini na Y ni nini) inakimbia fasta lakini hufa haraka, wakati mbegu ya mtoto wa kike zipo slow ila zinaishi ....

Lets say mkeo mzunguko wake wa siku 28 obviously siku ya 10-16 anakuwa kwenye ovulation;especially siku ya 14, kupata mtoto wa kike mfanye tendo siku ya 10-12 siku ya ovulation yani siku ya 14 asiduu kabisa, siku hii piga ua atotoka kidume.....

Kwa elimu zaidi Riwa anaweza kutusaidia

Asante
 
Fanya mapenzi na mkeo wakati ute wake ni mwepesi. Sasa hapa ni muhimu wife ajue ni wakati gani ute wake ni mwepesi;umenipata kamanda.............ukifanya hivyo tayari umempata:target:
 
Yaani unashangaza wewe,Kupata wa kike ni rahisi kuliko kujiunga Jamii Forum !Yaani cha Msingi hakikisha kila siku unagonga mzigo yaani wife,kwa maana hizi za (Y) huchukua mda mfupi sana wa kiushi kuliko za (X),hivyo kama Y itakutana na X wakati wa kutungwa kwa mimba hapo ujue ni dume !yaani XY.Lakini kwa kuwa za kiume huishi kwa mda mfupi na ukakuta zilizobakia ni Y na mkeo nae ana Y basi Huyo ni binti (XX).It means kula mzigo mara nyingi nako hupunguza nguvu ya zile za Y,zinabaki za X then mama mara zote huwa na za X,hapo lazima upate binti wa kufanyia SEND OFF mana najua ndo shida yako ukizeeka !

Asante. Bahati mbaya tu mimi nina 'allergy' na send off parties. Kifupi sizipendi, ninataka tu kupata mtoto wa kike, maana nina madume tupu.
 
mwanamke anatoa yai XX na mwanaume mbegu XY. Kwa kawaida yai la kike yaani X huishi kwa saa 36(siku 1 na nusu) Kwa upande wa mbegu za kiume life span hutofautiana kwa kuwa zipo 2 tofaut......... kwa mbegu x life span yake ni saa 72(siku 3) na Y life span yake ni saa 48(siku 2)...... Yai la kike hukomaa na kuwa tayar kurutubishwa kuanzia siku ya 14 toka aanze hedhi mf.kam hedhi ilianza tar.30 oct. yai litakuwa tayar kurutubishwa kuanzia tar 12 Nov. ambazo ni siku 14. Ili upate mtoto wa kike inabid ukutane na mwanaume siku 3 kabla ya yai kupevuka ili inapofika saa 48 mbegu Y zitakuwa zimekufa hivyo zitabaki X ambazo zitarutubisha yai X NA KUANYA MTOTO WA KIKE. Ili upate wa kiume inakubid ukutane na m'ume siku ya 14 hasa usiku au 15 kwa kuwa Y ina kasi zaid kiliko X hivyo itawahi kufika kabla ya X na kurutubisha yai na KUFANYA MTOTO WA KIUME. Kuna mzingira yanayoweza kuathiri mahesabu hayo km kiasi cha alkaline ukeni,lishe nk so kuwa makini knye hizo hesabu utafanikiwa..BEST WISHES...........

Thanks, The Hammer
 
haya mambo ni magumu!!! mimi nina wakike watupu,
ila muda haujafika wa kutafuta mwigine ukifika na mimi
nitakuja jamvini kuomba formula.
 
Back
Top Bottom