p.col
Senior Member
- Jul 29, 2014
- 172
- 27
Habari za ahsubuhi wana JF,mm ni muhitimu wa kidato cha 6-2014 niliye kwenye mchakato wa admission.
Naombeni kujuzwa japo kwa makadirio tu tarehe ya kuripoti chuo kwa undergraduate N:B kama zinatofautiana kulingana na chuo husika bac nijuzwe kwa UDSM, ARDHI au UDOM, (karibuni magreat thinker)