Tarehe ya kuripoti chuo kwa undergraduate

Yan kuna watu wehu sana humu Jf mtu anauliza kwa lengo la kutaka kujua linatoka JINGA linajichetua kujibu MAJIBU YA KUNYA kwani lazima ucomment ka unahis post hujaipenda why dont u stay en se'how othr thy cn help...!!!

Tatizo kuna watu humu washamba ata elimu ya vidudu haijawakomboa
 
Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......

Hivi mkuu div II ya 9, ni dogo sana mpaka unasema mbovu.....hata kama one zingekuwa million dogo amejitahidi sana...na unavyosema Ardhi civil umefikiria kweli kati ya Ardhi ambapo wanachukua wanafunzi wasiozidi 60 na UDSM ambopo wanachukua wanafunzi zaidi ya 150 wapi anaposibility ya kuenda?...na pia wewe unajua jinsi wanavyochagua hao wanafunzi?
 
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?

Kupata architecture Ardhi inaweza kuwa ngumu kidogo, ila unaweza kupata...huko kwingine we subiri tu popote unaweza kuenda...
 
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?

Hongera mkuu ingekuwa enzi zile ungekuwa na I-6.
Ila kwa vyovyote chuo lazima uende ni kuomba Mungu ajalie uzima.
 
Haya matokeo ya TCU yanachelewa mno .....wazazi na walezi tunahitaji kujua mapema matokeo ya vijana ili tujue tunajipanga vipi ...... hela haziokotwi ....... hii september then mwezi ujao ndio unajua dogo kapangwa IFM inabidi utoboke 1.7m .......kwanini wasitoe mapema kutoa fursa kwa wanafunzi na wazazi kujipanga ......nchi ya walalahoi hii ..... bajeti ya unga tu issue alafu tunashtukizana bado mwezi mtoto aende chuo .....
 
kuhusu pesa mzazi wako atakua ni mtu wa ajabu kama hakujipanga tangu alipoona umefaulu. mbona mnapenda haraka haraka? hamjui kuna wenzenu wa diploma nao wanahitaji hzo chance? kuweni na subira
 
ukiacha elumu,kuna mambo mengi tu ya kijamii xo itanisaidia kupanga ratiba,
unachosha nguvu zako kumjibu huyo bwana. Ni miongoni mwa watu wenye mitazamo hasi kwa kila jema na wanao weza kukatisha tamaa wenzao usijichoshe
 
Hivi mkuu div II ya 9, ni dogo sana mpaka unasema mbovu.....hata kama one zingekuwa million dogo amejitahidi sana...na unavyosema Ardhi civil umefikiria kweli kati ya Ardhi ambapo wanachukua wanafunzi wasiozidi 60 na UDSM ambopo wanachukua wanafunzi zaidi ya 150 wapi anaposibility ya kuenda?...na pia wewe unajua jinsi wanavyochagua hao wanafunzi?

Tatizo la watanzania hatupendi kuelezana ukweli pale inapobidi.....so ww unadhan na div 2pts 9 huyu dg anaweza pata udsm kwa ufaulu huu wa BRN......Awkey si tupo humu ndani.....ngoja TCU waachie mzigo tuone.....
 
afu nishajua we jamaa ni mfukunyuku ww,
 
Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......

Acha ushamba... Kwahyo mtu akiomba UDSM basi anapenda mambo makubwa.

Ukubwa uko wapi sasa hapo. Huku COET kuna watu wana hadi div 3 wanakamua effectively. Mwaka huu kuna wenye div 1 na wametupwa second round.

Acha dharau dogo kapiga fresh hapo imebaki TCU ndo wanatoa maamuzi ya mwisho.
 
Acha ushamba... Kwahyo mtu akiomba UDSM basi anapenda mambo makubwa. Ukubwa uko wapi sasa hapo. Huku COET kuna watu wana hadi div 3 wanakamua effectively. Mwaka huu kuna wenye div 1 na wametupwa second round. Acha dharau dogo kapiga fresh hapo imebaki TCU ndo wanatoa maamuzi ya mwisho.

Time will tell
 
kuhusu pesa mzazi wako atakua ni mtu wa ajabu kama hakujipanga tangu alipoona umefaulu. mbona mnapenda haraka haraka? hamjui kuna wenzenu wa diploma nao wanahitaji hzo chance? kuweni na subira

Wewe kwa uandishi wako tu naweza kuhisi bado mtoto ......huwezi kunielewa .....haya kaombe nauli na hela ya chipsi uende shule .....
 
daaah,Huyu jamaa *MCHAPAFITO* kama ni dokta bac hasara kwa taifa
 
Back
Top Bottom