Sasa ukishajua itakusaidia nin?anway serikali haina pesa,so vyuo vitafunguliwa mwezi december.
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?
Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......
frsh bro,If God wishes TCU will make it happen and i'll be there
Muda wako uliopoteza JKT bora ungemsaidia shangazi yako kulisha nguruwe wake! Jifunze kuheshimu maoni ya mwenzako! Ulivyo mjinga unaona UDOM hapafai?Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......