karim kindole
Member
- Aug 20, 2014
- 31
- 13
UDSM ni tarehe 29 mwezi huu
Nitawapa pre-orientation hapa hapa
Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?
daaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?
Udsm Tar 11 Oct
Haya matokeo ya TCU yanachelewa mno .....wazazi na walezi tunahitaji kujua mapema matokeo ya vijana ili tujue tunajipanga vipi ...... hela haziokotwi ....... hii september then mwezi ujao ndio unajua dogo kapangwa IFM inabidi utoboke 1.7m .......kwanini wasitoe mapema kutoa fursa kwa wanafunzi na wazazi kujipanga ......nchi ya walalahoi hii ..... bajeti ya unga tu issue alafu tunashtukizana bado mwezi mtoto aende chuo .....
unachosha nguvu zako kumjibu huyo bwana. Ni miongoni mwa watu wenye mitazamo hasi kwa kila jema na wanao weza kukatisha tamaa wenzao usijichosheukiacha elumu,kuna mambo mengi tu ya kijamii xo itanisaidia kupanga ratiba,
Hivi mkuu div II ya 9, ni dogo sana mpaka unasema mbovu.....hata kama one zingekuwa million dogo amejitahidi sana...na unavyosema Ardhi civil umefikiria kweli kati ya Ardhi ambapo wanachukua wanafunzi wasiozidi 60 na UDSM ambopo wanachukua wanafunzi zaidi ya 150 wapi anaposibility ya kuenda?...na pia wewe unajua jinsi wanavyochagua hao wanafunzi?
Tatizo la watanzania hatupendi kuelezana ukweli pale inapobidi.....so ww unadhan na div 2pts 9 huyu dg anaweza pata udsm kwa ufaulu huu wa BRN......Awkey si tupo humu ndani.....ngoja TCU waachie mzigo tuone.....
Hivi kwanini mnapenda mambo makubwa wakati point zenu mbovu?????? div 1 mwaka wenu zipo zaidi ya 4000 na unajua fika PCM hapo ni wengi tu katika kundi hilo.....daaahhh i assure you usipoenda civil ardhi(ambayo probability ni ndogo poa) basi UDOM lazima pakuhusu.......
Acha ushamba... Kwahyo mtu akiomba UDSM basi anapenda mambo makubwa. Ukubwa uko wapi sasa hapo. Huku COET kuna watu wana hadi div 3 wanakamua effectively. Mwaka huu kuna wenye div 1 na wametupwa second round. Acha dharau dogo kapiga fresh hapo imebaki TCU ndo wanatoa maamuzi ya mwisho.
kuhusu pesa mzazi wako atakua ni mtu wa ajabu kama hakujipanga tangu alipoona umefaulu. mbona mnapenda haraka haraka? hamjui kuna wenzenu wa diploma nao wanahitaji hzo chance? kuweni na subira
Nawe uko UD kama mimi mkuu? Ni tar 29
we ni wa Udom tu ata usiangaikedaaaaah,kuuliza fununu c ujinga, mm nina II-9,B-plain zote,hivi naweza kupata wapi kati ya 1.civil udsm,2.electrical udsm,3.civil ardhi,4.architecture ardhi,5.udom? ?