Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya


Kweli wanatakiwa wawe open sana ukizingatia ni muda mrefu walikuwa na sintofahamu kama ajira zipo au hazipo,sasa ukimya wao unasababisha sintofahamu nyingine coz kuna wengine wanatoka mtwara kwenda bukoba na nauli ni kubwa, na nasikia kesho kuna mgomo na unaweza fida hela ya kijikimu pia ukapewa nusu
 
ni vizuri kusubiri taarifa rasmi msiwe na wasiwasi sababu wanajua wanachokifanya kila jambo serekalini lina utaratibu wa kulitolea taarifa na taarifa iliyopo ni ya kufanya mabadiliko katika orodha kuondoa walioingizwa kimakosa na kuweka wanaohusika na ni kwa wahitimu wa sekomu tu na hakuna maelezo wala taarifa ya kupanga walimu upya.
 

siyo sekomu pekeyao pia wapo diploma waliosapua mwakajana wote hawapo.
 
Hyo ishu jamani bado haieleweki,, chuo cha sekomu wanadai walipeleka majna husika lakn tamisemi ndio wamejchanganya wenyewe wame misplace document
 
nenda ka ripoti kwenye kituo cha kazi hawajasema msiende kuripoti ajira znafanyiwa marekebisho kwa sekuco mm ndo nimeelewa hivyo lile tangazo.
 
jaman mbna mnakua wagumu kuelewa.. tangazo lenyewe linajieleza... wameondoa kwa muda orodha ya majina ili kuwajumuisha na wahitimu wa SEKUCO.. xo hamna mabadiliko yatakayo fanyika kwa wale waliokwisha pangiwa halmashauri... na tarehe ya kuriport haitobadilika pia coz kinachofanyika n kuingiza tu hayo majina sahihi ya watu wa SEKUCO
 
Jamani eee,, kunajamaa zangu wanaishi Majengo Dodoma na Jana walienda pale Tamisemi kuuliza kama waliokwisha ona ajira na vtuo vyao waende tar. mosi kuripoti au wasiende. Jibu walilopewa ni hili;: TUMEONDOA MAJINA KWA MUDA NA SIO KWAMBA TUMETENGUA AU KUFUTA AJIRA KWA WALE WALIOKWISHA AJIRIWA NA KUPANGIWA VITUO. KAMA UMESHA AJIRIWA NA KUPANGIWA HALMASHAURI BASI NAJUA UNAFAHAMU NN CHA KUFANYA. NYIE NI WASOMI JARIBUNI KUFIKIRI. UNATAKIWA KURIPOTI KAMA ULIVYOPANGWA NA KWA TAREHE ULIYOPEWA."
Jamaa wakaondoka ofisini mikono nyuma. But Nadhani hapo nitakua nmesaidia watu kidogo. mm mwenyew kesho naanza safar kwenda kuripoti.
 

Serikali haitegemewi kufanya kazi kwa kutoa taarifa nusu nusu. Kama ile list imeondolewa ni sawa na kuwa haipo. Huwezi kuitumia kwani kwa sasa haipo. Hawakusema kuwa wanarekebisha majina ya SEKUKO tu na wengine waendelee na walivyopangiwa. List imeondolewa na haipo tena kwa UMMA. Msubiri mpaka itakapo rudishwa. Hakuna anaejua marekebisho yatafanywa vipi. Hapa naona speculations tu.

Hisia zangu: Lakini hakuna ubaya mkaanza kujipanga kwa safari (sio kuondoka) mkijua lolote laweza kutokea na tarehe za kuriport zinaweza zisibadilishwe (issue ya timing ya mishahara). Si vizuri kuondoka kabla list haijarudishwa lakini uwe tayari kuondoka mara tu list ikirudishwa.
 
Wamesema AJIRA ZILIZOTOKA ZIMESITISHWA so inavyoonekana wanataka kupanga upya maana makosa mengi yamefanyika sn mfn watu kuwekewa masomo wasoyafundisha afu vyuo vngine km hiyo SEKOMU na watu wengine kukosa majina.. So unataka ukaripoti wp wkt ajira imesitishwa???
 
JAMAN haya majina ya mafundi sanifu kuna aliefanikiwa kuyaona??? naomba usaidz plZ....!!!!!
 

Sekomu wote ni Arts, sasa why wasitoe majina ya arts tu? Wametoa na ya Sayansi? Ni vema kusubiri lazima kuwe na mabadiliko
 
Kama tatizo linawahusu sekomu pekeyao ni kwanini wasinge watengenezea file lao pekeyao pasipo kuchanganya na wale ambao tayari walishajua walikopangwa. Hapa lazima kunakitu kinaweza kujitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…