Annuity
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 338
- 198
kwanini tamisemi wasituweke sawa juu ya jambo hilo! ikiwa watu wanapaswa kuripoti kwa tarehe zilezile? ikiwa ndiyo zimefutwa kwa wote hivyo watatoa tena huku zikiwa na mabadiliko kwa wote hata wale ambao hazikukosewa particulars zao na hivyo hatupaswi kuripoti! wangetuweka wazi kwa kauli iliyo wazi isiyo na utatinishi...wangetoa taarifa zisizokuwa na utata!
maana kuna watu wako safarini hawajui kuhusu tangazo lililotolewa, itakuwa busara wakituweka wazi sote maana haya ni maisha na hayatakiwi kuchezewa kamari!!!
Kweli wanatakiwa wawe open sana ukizingatia ni muda mrefu walikuwa na sintofahamu kama ajira zipo au hazipo,sasa ukimya wao unasababisha sintofahamu nyingine coz kuna wengine wanatoka mtwara kwenda bukoba na nauli ni kubwa, na nasikia kesho kuna mgomo na unaweza fida hela ya kijikimu pia ukapewa nusu