Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Haka ni kamchezo flani kamechezwa kitaalam!
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa wanataka kufanya yao nkabisha sasa naanza kuona.
Huu ni mchongo wa TAMISEMI kale kachou ka Tanga hakausiki Ng'o!
umefuatilia majina ya wanachuo wa sekomu walioko katika orodha ya mwaka huu yaani ni haohao walioko katika orodha ya mwaka jana kama unabisha fuatilia uone by the way acheni kuichafua serekali kwa mambo ya uongo kwa sababu huna ushahidi just guessing tu mwanzo ajira zimefutwa baadaye zikatangazwa mkasema changa la macho baadaye majina out so msipende kusema uongo tuikosoe serekli lkn sio kwa mambo ya kuisingizia.Haka ni kamchezo flani kamechezwa kitaalam!
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa wanataka kufanya yao nkabisha sasa naanza kuona.
Huu ni mchongo wa TAMISEMI kale kachou ka Tanga hakausiki Ng'o!