Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

Haka ni kamchezo flani kamechezwa kitaalam!
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa wanataka kufanya yao nkabisha sasa naanza kuona.
Huu ni mchongo wa TAMISEMI kale kachou ka Tanga hakausiki Ng'o!
 
Haka ni kamchezo flani kamechezwa kitaalam!
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa wanataka kufanya yao nkabisha sasa naanza kuona.
Huu ni mchongo wa TAMISEMI kale kachou ka Tanga hakausiki Ng'o!

Sasa ndo ivo wametuonyesha tunyamaze kwann wasikosee yote wamekosea at tuu heee kwisha habari yetu cha muhm watwambie turipot au?
 
Haka ni kamchezo flani kamechezwa kitaalam!
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa wanataka kufanya yao nkabisha sasa naanza kuona.
Huu ni mchongo wa TAMISEMI kale kachou ka Tanga hakausiki Ng'o!
umefuatilia majina ya wanachuo wa sekomu walioko katika orodha ya mwaka huu yaani ni haohao walioko katika orodha ya mwaka jana kama unabisha fuatilia uone by the way acheni kuichafua serekali kwa mambo ya uongo kwa sababu huna ushahidi just guessing tu mwanzo ajira zimefutwa baadaye zikatangazwa mkasema changa la macho baadaye majina out so msipende kusema uongo tuikosoe serekli lkn sio kwa mambo ya kuisingizia.
 
Hapa kuna interest za watuu wengine hawajapenda walipopangiwa soo wanatamanii mabadiliko ilii wapangwe kwingine amna aliyekwambia Ajira zimesitishwa wameondoa Tangazo kwa muda wametumia miezi miwili kupanga asaa iwe vip upangwe Mbeya kesho teena wakupange Tanga andaa safari nenda karipoti utengeneze mazingira usitegemee mabadiliko yakuhisi utapangiwa sehemu tofauti na ya Mwanzo
 
Hmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm je inakuaje kwa watu waliopata sup wakaclear mwaka jana? Coz na wenyewe hawajapangwa na siyo fair mtu kaenda jkt kakaa iddle two years sometime serikali iwe na huruma jaman looooooooooh
 
Back
Top Bottom