mwita mutundi
Senior Member
- Oct 27, 2022
- 188
- 305
mwambie kijana aache wenge wenzake tokea mwaka 2008 tuko ndani ya game halafu tumetulia tuuMbona ana mchecheto na kazi? Ngoja akajitie kimuhemuhe cha kufanya kazi kwa bidii atapunguzwa makali kibabe na wakongwe wa kazi atakaowakuta. Anauliza mshahara kwani wakati anaomba kazi hiyo hakujua ataanza kulipwa kiasi gani? Aache ulimbukeni atachekwa na kudharauliwa na wakongwe wa kazi