Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Mkuu birthday huwa ni moja tu. Siku uliyokuja duniani. Kwa ambao hawafahamu ni lini walizaliwa huchagua siku moja na kuiadhimisha kila mwaka kama ni birthday. Sasa Mbowe inakuaje kwa miaka mingi jamii imekuwa inaambiwa birthday yake ni 9/12 n husherehekewa hivyo, leo imehamia mwezi wa 9? kuna ukakasi kidogo hapaUsahihi kuhusu tarehe ni huu
14.9.1961 ni kuzaliwa kutoka ndani ya tumbo la mama yake. (kuzaliwa kimwili)
9.12.1961 ni siku ya ubatizo wake na kupewa jina la Freeman. (kuzaliwa kiroho)