Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Mkuu birthday huwa ni moja tu. Siku uliyokuja duniani. Kwa ambao hawafahamu ni lini walizaliwa huchagua siku moja na kuiadhimisha kila mwaka kama ni birthday. Sasa Mbowe inakuaje kwa miaka mingi jamii imekuwa inaambiwa birthday yake ni 9/12 n husherehekewa hivyo, leo imehamia mwezi wa 9? kuna ukakasi kidogo hapaUsahihi kuhusu tarehe ni huu
14.9.1961 ni kuzaliwa kutoka ndani ya tumbo la mama yake. (kuzaliwa kimwili)
9.12.1961 ni siku ya ubatizo wake na kupewa jina la Freeman. (kuzaliwa kiroho)
Rudia kusoma ulichoandikaMBOWE NI MUONGOMNA GAIDI
MUONGO NA GAIDIRudia kusoma ulichoandika
Au hujalipwa buku 7yako
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kunywa sumu au jinyonge mkuu ili wasiendelee kukukeraa [emoji12][emoji12]Ila chadema ina watu wajinga wajinga sana jamani!
Ukiona michango ya mtu kama mmawia humu jf unabaki kucheka tu
Name kwa kucheka hujambo bac sawaIla chadema ina watu wajinga wajinga sana jamani!
Ukiona michango ya mtu kama mmawia humu jf unabaki kucheka tu
Kapoteza mvuto baada ya mshindani wake kufaMLIFURAHIA SANA WAKATI ANAWASEMA CCM TULIENI DAWA IWAINGIE IMESHAGEUKIA KWENU WANAUFIPA MTAKOMA
Kati ya watu amabao huwa sielewi wanaandika nini ni wewe.Nakuona bavicha