Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Kwa kuwa mleta mada ameingia mitini ngoja niwape mambo ya namba '9'

Sifa
-wanaupendo mkuu
-wanapenda kusaidia wengine, falsafa yao ni kuwa binadamu wote ni sawa.
-Huongoza kwa mifano na sio manenomaneno
-hujitoa sadaka kwa ajili ya wengine
-wanauthubutu wa kusema hapana kwa kile wanachokiamini hata ulimwengu mzima ukiwapinga.
-wavumilivu kupita maelezo
-wanavipaji vikubwa
-wanaupeo mkubwa wa kuelewa mambo
-ni rahisi kusamehe
wanamapenzi ya kweli
-wanaona mbali
-Wanatoa bila kutegemea faida
-wananguvu za kufanya chochote hata kama inaonekana haiwezekani kwa wengine.
-wanapenda kuheshimiwa tu.

Udhaifu
- Ni wasiri sana.
 
Huyu mwamba aliyumbia wap mbona namba 9 hajamalizia utamu
 
Mi namba yangu ni 11 na wewe umeishia katikati nimeshindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom