Kwa kuwa mleta mada ameingia mitini ngoja niwape mambo ya namba '9'
Sifa
-wanaupendo mkuu
-wanapenda kusaidia wengine, falsafa yao ni kuwa binadamu wote ni sawa.
-Huongoza kwa mifano na sio manenomaneno
-hujitoa sadaka kwa ajili ya wengine
-wanauthubutu wa kusema hapana kwa kile wanachokiamini hata ulimwengu mzima ukiwapinga.
-wavumilivu kupita maelezo
-wanavipaji vikubwa
-wanaupeo mkubwa wa kuelewa mambo
-ni rahisi kusamehe
wanamapenzi ya kweli
-wanaona mbali
-Wanatoa bila kutegemea faida
-wananguvu za kufanya chochote hata kama inaonekana haiwezekani kwa wengine.
-wanapenda kuheshimiwa tu.
Udhaifu
- Ni wasiri sana.