Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Tupe mwendelezo
 
Episode toka 2018 mpaka leo haijapata muendelezo au mtunzi alikufa nn
 
Huu uzi niliupuuza mwaka umeanzishwa, anyways naomba kujua namba 12.
 
Oyaaa nimekokotoa 30/03/1998 nikapata jibu 15 hay nimepata namba kiongoziii na hiii ina sifa zipiii mkuuu
30/03/1998
Tarehe
30= 3+0=3

Mwezi
03= 0+3=3

Mwaka
1998= 1+9+9+8=27= 2+7=9

9+3+3=15
Nipe maana za kiongoz 15 mkuu
 
Tarehe: 06/09/1979:

0+6=6
0+9=9
1+9+7+9=26=2+6=8
Now: 6+9+8=27
Then what next or what does it mean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…