Tarehe ya leo Mwaka Jana [October, 25]

Tarehe ya leo Mwaka Jana [October, 25]

nilikuwa nasubiri macho yaache kuwasha ili ningalie bomu jingine litatokea wapi
 
Na bado tutaendelea kuisoma kwa kweli hakuna namna
 
Nilikuwa Mita miambili kutoka usawa wa kupigia kura japo si kulinda kura
 
Nilikua nahesabu kura za diwan,staisahau hyo siku jins nilvyochoka,mpaka SAA 8 usiku ndo nikakabz hesabu zangu kama mkuu wa kituo,lakn mpaka leo mwaka sasa umepita michosho ni kila kukicha!
 
Nilikua nahesabu kura za diwan,staisahau hyo siku jins nilvyochoka,mpaka SAA 8 usiku ndo nikakabz hesabu zangu kama mkuu wa kituo,lakn mpaka leo mwaka sasa umepita michosho ni kila kukicha!
Ulilipwa au una fomu ya madai?.
 
Back
Top Bottom