Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Katika siku ambazo tumeshindwa kupumua ni leo mana tumechanganywa na vitu vingi kama watu walipangana
1. Mond na Kiba kumekucha
2. Aunt Ezekiel kufungiwa bar yake baada ya kurudiana na timu WCB.
3. Idris kuleta povu kubwa mtandaoni kwa viongozi baada ya kumtania mtukufu wa nchi.
4. Kule Jose Morinho anataka kuchukua Arsenal
5. Huku Harmonize kampigia simu mkubwa wake kukubaliana kupiga show wasafi festival
6. Kigwangala kumtetea Idris kuwa na uwezekano wa kurudisha ugomvi wake na mtoto wa mwenye nchi
7. Barabara ya Makongo imewaamsha wananchi na kumpa matumaini mtoto pendwa kuchukua jimbo kwa dada
SISI ACHA TUENDELEE KUCHEZA UNO TU